Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
ni changamoto Mkuu, kwa mtu mwenye scenario kama hio unamshauri achomoke vipi hapo?Uko sahihi mkuu, maana ukipewa Ile barua utaanzisha normal transfer. Ukisha-attach baadae utakutana na Vacancy not budgeted. So hiyo imekuwa ni changamoto kubwa
Labda uombe Taasisi nyingine unayoikubali kidogo.ni changamoto Mkuu, kwa mtu mwenye scenario kama hio unamshauri achomoke vipi hapo?
Serikali inaanza kulipa accomodation allowance kwa mtu aliyefikia cheo cha SENIOR LECTURER.Mbona nlisikia wana allowances kibao mfano Housing, Transport,Communication na extra duty_ au imekaaje hiyo??
Nakazia. Attachment muhimu.Sijajua ila ninacho jua attachment lazima iwepo
JMAA UWAGA NIKIONA POST ZAKO NACHEKA SANA,Wakuu,, hii ESS Leo vipi, au haitaki tuone vibali tulivyowekewa
View attachment 3670186
JMAA UWAGA NIKIONA POST ZAKO NACHEKA SANA,
UsithubutuShukrani mkuu nilijua shirika kama TRC litakua na mabadiliko yoyote kwaujio wa SGR
Post zinakuchekesha..!!!JMAA UWAGA NIKIONA POST ZAKO NACHEKA SANA,
MFUMO now upo offlinePost zinakuchekesha..!!!
Kaka umekuwa mkali sanaUsithubutu
Mkurugenzi akikasimisha kwa HR officerWakuu naomba kuuliza. Kwenye vacancy request, maombi yaikienda kwenye taasisi unayotaka kuhamia anayepitisha ni HR au Mkurugenzi wa hiyo taasisi?
Kama ndo ivo, ngoma ngumuSerikali inaanza kulipa accomodation allowance kwa mtu aliyefikia cheo cha SENIOR LECTURER.
Ooh asante mkuuMkurugenzi akikasimisha kwa HR officer
Wengine tunaendelea kujifukizaWakuu vibali vipi huko kwenye ESS zenu tupeni mirejesho jamani
Wengine tunaendelea kujifukiza
Vibali hutolewa Kila mwishoni mwa mwezi, kwahyo kwanzia tarehe 25 ndo mirejesho itaanza humuWakuu vibali vipi huko kwenye ESS zenu tupeni mirejesho jamani