HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
pole sana Mungu akutie nguvu ni kweli kabisa kuna muda unachoka kabisa kwenye kituo cha kazi
 
Njoo tushauriane,nami niliona vacancy na leo iko hivi
 
Ndugu niliona vacancy taasisi flan ya chuo,vacancy ikakubali ikaenda kwa mkurugenzi wangu anapitisha ikaenda katika taasisi husika imekaa siku 10 kule jana imejiweka ACCEPTED,then comment chin ikajiweka kiwa nianze kuinitiate transfer out ,nipeni ushauri haitaleta shida mbele ila nafasi chuoni zipo ndio maana vacancy request ilienda ...pia nitaacha vitu gani nilianza kuinitiate transger
 

Attachments

  • Screenshot_20260916-082822.png
    166.6 KB · Views: 14
apo songa mbele tu,sababu auto accept wameiweka UTUMISHI ,sasa kama wameweka wenye sizani kama watakuja kataa
 
Wataalamu wa halmashauri mbona hapa imekaa mwezi mmoja na hawajaaccept? Wengine wanasema inakaa siku 10 inajiaccept yenyewe?
 

Attachments

  • Screenshot_20260916_115949_Chrome.jpg
    53.8 KB · Views: 14
Sawa ngoja,sasa kule kwenye vacancy request niliatach CV pekee.Huku kwenye kuinitiate kuna sehemu ya attachments niweke zip vyeti tu au pia niandike na barua kwenda kwa katibu mkuu
ndio kuna nafasi ya ku attach documents
 
Weekend iliyopita watu wamecheka, humu Bado kimya😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…