Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #801
Wapo wawili, ila mmoja ndio anafunguka ku-share info, na anasema "Mambo bado yapo Utumishi""Mkuu wale wenzio wa hapo ofisi ambao walianza na Vacancy na hawajajibiwa kama wewe, wakifanikiwa kupata vibali tunaomba utuletee mrejesho
Sawa tuendelee kusubiri maana watu wengi wamepiga simu wiki iliyopita waliambiwa waendelee kusubiri wiki inayoanza kesho au siku zote zilizobaki kuelekea October.. So tunaamini wiki hii inayoanza kesho watu tunaweza kufurahiWapo wawili, ila mmoja ndio anafunguka ku-share info, na anasema "Mambo bado yapo Utumishi""
Wale wa4 wa "rejecred", wa3 maombi yapo kwa mkurugenzi na ameahidi kupitisha yoteeee.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wengine wanasubiri interview za OTR tokea mwezi wa 8 tarehe za mwanzoni..!!!Sawa tuendelee kusubiri maana watu wengi wamepiga simu wiki iliyopita waliambiwa waendelee kusubiri wiki inayoanza kesho au siku zote zilizobaki kuelekea October.. So tunaamini wiki hii inayoanza kesho watu tunaweza kufurahi
Miaka mitatu ya kukaa kituo kimoja, haijalishi nafasi uliyonayo.Kuuliza sio ujinga.
Kuna sheria inabidi mtu atimize miaka mitatu ili aweze kupata nafasi ya transfer. Swali miaka 3 kwenye taasisi toka uajiriwe au miaka 3 ktk nafasi uliopo? Hapa namaanisha mfano uliajiriwa ktk taasisi X miaka 10 ktk nafasi fulani, then ukaongeza elimu recently ukapanda cheo je ni lazima usubiri miaka 3 ili kupata transfer?
Mtu akikutana na "Destination already fullfilled" moja tu ANAKATA TAMAAA.Watu wengi wavivu kusoma, ile mkeka uliotumwa humu, una nafasi nyingi hazina watu mpaka sasa.
Mle ndani kuna taasisi nyingi za maana, ni kutuliza kichwa na kuanza kuusoma kwa umakini.Mtu akikutana na "Destination already fullfilled" moja tu ANAKATA TAMAAA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa mkuu nimeandaa mkeka wa taasisi 25 ni jiwe juu ya jiweTuma kwengine.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hapana mkuu, perception yako tu,Huyu jamaa S4RZTQ anapenda sana kulike tu comments za watu humu, yeye wala hatoi mrejesho au kama anasubiri kibali. Huyu atakuwa anatuchora Wapambanaji
Mkuu format nzuri ya CV inayofaa kuwekwa kwenye ESS ni ipi?Mtu akikutana na "Destination already fullfilled" moja tu ANAKATA TAMAAA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu shukrani sana umeeonyoosha vizuri swali nililolkua nahitaji kupata ufafanuzi shukrani sana hiki ndicho nilichokusudia hasa mtu anajuaje kama anahitajika engineer wa civil, elctrical etc. katika zile nafasi zinzotangazwa katika mkeka.hujaelewa swali la jamaa Mkuu, Engineer zipo category nyingi kuna (civil,electrical, mechanical etc), sasa kwenye ESS unakuta mtu ni Electrical Engineer ila amesajiliwa kwenye Mfumo kama Engineer I/II n.k bila specific details...na kwenye ule mkeka utakuta tu wametangaza Engineer I/II silently bila ku specify ni Engineer yupi...so mdau hapo ndo anauliza anawezaje kujua au kupata details ni Engineer yupi wanamtaka
Hebu share uliyonayo sasa hivi. Kama ipo vizuri nikuambieMkuu format nzuri ya CV inayofaa kuwekwa kwenye ESS ni ipi?
Unaweza share draft kama ipo mtu ajifunze na aweke kitu murwa
Ah wee πMimi nashauri tuwe na Group la Whatsapp
Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.Mle ndani kuna taasisi nyingi za maana, ni kutuliza kichwa na kuanza kuusoma kwa umakini.
Hiyo inaitwa kupishana na gari la mshahara. Hivi DART panaeleweka kweli?Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.
Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.
Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
Nimeuliza humu sijaona majibu. Usije jikuta unaenjoy kupanda mwendokasi free tuHiyo inaitwa kupishana na gari la mshahara. Hivi DART panaeleweka kweli?