Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAMELabda kama upo taasisi kaka.
Afisa Lishe aliye halmashauri na afisa lishe aliye wizarani hawa ni watu wawili tofauti kaka
Inasumbua from Alhamisi au Ijumaa hivi. Tumetoka bila bila hadi leo.Hivi wenzangu nanyi Ess inasumbua kama mimi au mtandao wangu tu?
Mi braza sina connection, ila ni ile nipo bar nagonga vyombo ghafla pdf hiyo whatsapp imetumwa na wadau.Nakuomba Mkuu Mkeka ukiwa unatoka tu Uwe unatupia Chap natnguliza shukrani zangu au unaweza kushare mahali pa kuupata huo mkeka Mzee na huwa unatolewa muda gani kwa mwaka
Nitautupia chappMzee tukutafute mwakani mwezi wa 6?
Hapo nimetoa mfano tu mkuu sijamaanisha wewe ni afisa lishe 😅Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
Ila aliye wizarani bajeti yake inatekelezekaMimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
Binafsi nahama pia sababu ya kulea familia mjini na kufanya mambo yangu njkiwepo muda wotee.Labda kama upo taasisi kaka.
Afisa Lishe aliye halmashauri na afisa lishe aliye wizarani hawa ni watu wawili tofauti kaka
Mimi ni maslahi na potential ya kufika mbali kwa kada niliyopo.Binafsi nahama pia sababu ya kulea familia mjini na kufanya mambo yangu njkiwepo muda wotee.
Tofauti na sasa nategemea sanaa watu, biashara zangu zipo mjini na mimi nipo Ndichi.
Kwahiyo inalilazimu kila ijumaa kuwasha boda au gari na kusogea mjini.
Hivyo nikiwa mjini MAMBO YANGU YATASONGA.
Kila mtu anasababu yake ya kuhama.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umejitahidi sana zaidi ya miaka 13 upo halmashauri miaka yote hiyoNitautupia chapp
Maana masela wote wa mjini wanajua kuwa nina hasira za kuhamia mjini.
Maana tokea 2012 nipo Halmashauri moja ndichiii balaaaa.
Hivyo wakinitumia tu nautupia humu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umetisha ManMi braza sina connection, ila ni ile nipo bar nagonga vyombo ghafla pdf hiyo whatsapp imetumwa na wadau.
Maana wadau kazini wanajua kuwa tokea 2022 mwamba nina hasira za kuhama.
Hivyo kwa kuwa tushatengeneza connection basi nitakuwa nautupa humu chap.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
At least MzeeIla aliye wizarani bajeti yake inatekelezeka
Mkuu Liverpool VPN wewe ulikwishasemaga unataka kwenye Maokoto maneno🤣🤣 acha kutukuna vichwa.🤣Binafsi nahama pia sababu ya kulea familia mjini na kufanya mambo yangu njkiwepo muda wotee.
Tofauti na sasa nategemea sanaa watu, biashara zangu zipo mjini na mimi nipo Ndichi.
Kwahiyo inalilazimu kila ijumaa kuwasha boda au gari na kusogea mjini.
Hivyo nikiwa mjini MAMBO YANGU YATASONGA.
Kila mtu anasababu yake ya kuhama.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu, unaweza share huo mkeka wa mwaka jana, just for referenceNi kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.
Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.
Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
Mwenyewe wa mwaka jana sikufanikiwa kuuona..Mkuu, unaweza share huo mkeka wa mwaka jana, just for reference
yah Mkuu, mi mwenyewe niko taasisi tena Town kabisa ila taasisi haina activities za maana wala nini, af ukicheki uko town kabisa, bora hata aliepo halmashauri ndani hana expenses aiseeTaasisi hizi tulizopo mishahara Iko vizuri kimtindo ila hakuna posho wala Safari za uhakika,, lazima tuzikimbie na good thing Utumishi kila mwaka wanaachie nafasi za kuhamia ili Wapambanaji tupambanie Green pasture 💚
Kuhama sio dhambi,
Mwenye huu wa mwaka jana, please share tufanye reference tuMwenyewe wa mwaka jana sikufanikiwa kuuona..
Ebwana sina tena kaka, nilivyoona siingii kokote sikuutunzaMkuu, unaweza share huo mkeka wa mwaka jana, just for reference
Sasa mkuu ishu inakuja kwamba salary hata useme uitunze vipi haikutani na salary ijayo.yah Mkuu, mi mwenyewe niko taasisi tena Town kabisa ila taasisi haina activities za maana wala nini, af ukicheki uko town kabisa, bora hata aliepo halmashauri ndani hana expenses aisee
Upo humu humu rudirudi nyuma utaupata MkuuMwenye huu wa mwaka jana, please share tufanye reference tu