Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #921
Na iwe hivi.Hawawezi kukataa maana mfumo ndo umesetiwa hivyo na wakuu wa hizo taasisi wameelekezwa usipofanyia kazi na ikaa auto na tasir yake umekubali
Shukrani SanaWapo Vizuri sanaaaa brazaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Una cheo gani? Na hilo daraja la juu ni cheo gani?Ni kwanini daraja la juu inakubali na kusema ipo kwa head of institution lakini daraja langu still 'Vacancy not budgeted' ni apply kwa daraja hilo hilo la juu au nikaushe wadau
Hii wiki hamna mpya dadeqSiku ya leo inaisha hakuna aliyepata barua ya uhamisho alete ushuhuda
Huna haja ya kujiuliza kwanini wakati ushaambiwa Vacancy not budgeted na hiyo ndiyo sababu. Ina maana kuwa position inayokubali ndiyo iliyowekewa bajetiNi kwanini daraja la juu inakubali na kusema ipo kwa head of institution lakini daraja langu still 'Vacancy not budgeted' ni apply kwa daraja hilo hilo la juu au nikaushe wadau
Bajeti ipo kwa daraja ilo la juu Yako tu ndo mana we ukiomba unakutana na not budgeted.Ni kwanini daraja la juu inakubali na kusema ipo kwa head of institution lakini daraja langu still 'Vacancy not budgeted' ni apply kwa daraja hilo hilo la juu au nikaushe wadau
Hivi haiwezekani Utumishi kuchakata maombi kwa siku anamgalau zitoke hata barua idadi kadhaa kwa waombaji kwenye mfumo maana maombi bado hayajajibiwa pressure iko juu hatujui hatima ya majibu yetu na baruaHii wiki hamna mpya dadeq
Hivi kama mtu aliomba halmashauri X nafasi ikawa IPO (accepted) lkn, kuinishieti mchakato I aandika designation not found shida niTaasisi
Taasisi unayoomba kule hawakuweka bajeti au ikama ya hiyo position kwenye mfumo ongea nao waweze kuweka hiyo ikamaHivi kama mtu aliomba halmashauri X nafasi ikawa IPO (accepted) lkn, kuinishieti mchakato I aandika designation not found shida nini
Haya majibu ndio ukweli ila Yanauma MkuuBajeti ipo kwa daraja ilo la juu Yako tu ndo mana we ukiomba unakutana na not budgeted.
Hata ukiomba nikazi Bure , itakugomea mbeleni na hata kibali huta pata,, tafuta nafasi ingine.
Hiyo maana yake ni kwamba tayari Mtu keshakua mbele ya muda kapita na hiyo nafasiHivi kama mtu aliomba halmashauri X nafasi ikawa IPO (accepted) lkn, kuinishieti mchakato I aandika designation not found shida nini
Kuna kijana nimemuelekeza akasome UCHUMI na nime screen shot hii comment akajionee maana anataka kutoka LGA na Hana maelekezo na DIPLOMA yake ya KILIMO.Wachumi bana, Economist zipo nyingiiii za kumwaga.
Uchumi ni fani pana sanaa serikalini.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Maombi yakikataa kumbe kuna mtu ameshawahiHiyo maana yake ni kwamba tayari Mtu keshakua mbele ya muda kapita na hiyo nafasi
Naam mkuu, Ess nina uzoefu nayo kidogo kwani nimeshatumia uhamisho watu wa kada mbalimbali na nimekutana na errors nyingi pia. Kuna ipo moja ambayo Kama ofisini kwenu kwa cheo chako mko wachache nayo inagomaMaombi yakikataa kumbe kuna mtu ameshawahi
Mkuu ukiwa tayari LGA na Fani Moja ukasoma Fani nyjhgine unachokokaje hapo LGA MzeeKuna kijana nimemuelekeza akasome UCHUMI na nime screen shot hii comment akajionee maana anataka kutoka LGA na Hana maelekezo na DIPLOMA yake ya KILIMO.
Asisome "Specific Economics" asome General.Kuna kijana nimemuelekeza akasome UCHUMI na nime screen shot hii comment akajionee maana anataka kutoka LGA na Hana maelekezo na DIPLOMA yake ya KILIMO.
Akimaliza hiyo Bachelor atafanyiwa Recate.Mkuu ukiwa tayari LGA na Fani Moja ukasoma Fani nyjhgine unachokokaje hapo LGA Mzee
Inshu sio kuupata inshu ulitoka na tangazo gani?mana hata website ya utumishi haupo umetembea tu kwenye ma group ya whatsapp kimya kimya.Fikra zako tuu.
Huu mkeka mi niliupata 30/06.
#YNWA
#YANGA_BINGWA