HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nadhani hujui, jpm alishaifanya ega kuwa mamlaka, nazani tangu 2016
 

Attachments

  • Screenshot_20260924_204846_Chrome.jpg
    216.3 KB · Views: 10
Iwapo ikitokea taasisi inaomba watumishi wawili je kuna uwezekano maombi yakafika zaidi ya wawili utumishi au zikifika maombi mawili kwenye hiyo taasisi mfumo inakataa au?
Inakataa,, ndo mana wengine huona Ile status THE VACANCY ALREADY FILLED au ,,mfumo utakua wazi kupokea maombi mengine mpaka ombi lako liwe rejected na KM UTUMISHI au TAMISEMI
 
Ohy...... Tupeni mrejesho wadau, kwangu PO-PSMGG ameganda hataki kutoka😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…