Spectrophotometry
Member
- Aug 2, 2026
- 51
- 101
Quality Assurance ni kada yoyote ile. Inatokana na field ya Taasisi (Yaan taasisi inafanya majukumu yapi haswa)1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.
2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
Watu wako kmy hawataki kuleta shuhuda humuMfumo umefunguka Leo, leteni ushuhuda aliyepata kibali.
Wewe hujapata..?Watu wako kmy hawataki kuleta shuhuda humu
Kuna jamaa kasema kaota kapata kibali leo, ngoja tumsubiri aje labda amepataMfumo umefunguka Leo, leteni ushuhuda aliyepata kibali.
hatari sana bora tupeane moyoKuna jamaa kasema kaota kapata kibali leo, ngoja tumsubiri aje labda amepata
ErrorTyping
Me najua kubadilika ni hadi utakavyoenda kuripoti kwa Mwajiri wako mpyahivi ukishapata kibali tu,pale kwenye My profile panabadilika au
kumbeMe najua kubadilika ni hadi utakavyoenda kuripoti kwa Mwajiri wako mpya
🤣🤣🤣 Usikute kweli mkuu ushawekewa kibali, ni mfumo tu ndio inaleta jau
Kuna jamaa kasema kaota kapata kibali leo, ngoja tumsubiri aje labda amepata
ErrorTyping
1. Huwezi kufanyiwa recate kwa Cheti cha Masters. Masters ni added advantage na hukusaidia kupanda madaraja, ila masters haiajiri. ili uwe afisa manunuzi lazima ukasome tena degree ya manunuzi.1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.
2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
Mkuu acha kusumbua watu, Watu wana stress za vibali. Mkeka umetumwa humu mara kibao.. Rudi post za nyuma pakua mkekaNaomben mkeka ule mpya wa taasisi zsnye vacancy please
hahhaha jmnMkuu acha kusumbua watu, Watu wana stress za vibali. Mkeka umetumwa humu mara kibao.. Rudi post za nyuma pakua mkeka
Bila bila na mimi😅Ohy...... Tupeni mrejesho wadau, kwangu PO-PSMGG ameganda hataki kutoka😁
Ukiona wew nakusumbua si unatoptezea tu mkuu,nimerud sijaona.Sio lazima kumjibu mtuMkuu acha kusumbua watu, Watu wana stress za vibali. Mkeka umetumwa humu mara kibao.. Rudi post za nyuma pakua mkeka
Mungu atajibu tu ,tuzidi kuombaBila bila na mimi😅