Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
na wote walitoka TAASISI A na kwenda TAASISI B, wizara tofauti kabisaHizo ni mamlaka mbili tofauti za ajira,kwa hiyo utaazimwa na baada ya mwaka utathibitishwa au kurudishwa ulipotoka kama mwajiri mpya hataridhishwa na utendaji wako.
Duuuh haya mambo bhana..hapo sijakuelewa mtaalam, yani mtu umeomba transfer, badala ya kupewa ya barua ya UHAMISHO, utapewa barua ya KUAZIMWA? why? so far kila ninae fahamu aliewahi kuhama barua yake ina heading ya UHAMISHO.
Kila kitu kinawezekana, Je huko unakokwenda kama una ukaribu nao wanaweza kukulindia nafasi yako lakini kama hakuna mtu unaemjua wanaweza kufanya uhuni vile vile hasa HR wakauza nafasi kwa mwingine ambaye akapambana na kibali kikatoka kabla yako akaingia.Umesema uzoefu wako unaonyesha kibali uchukua miezi 6 hadi mwaka mmoja. Je, barua ya kukubaliwa taasisi X haiwezi kuexpire na wao kuamua kumpa nafasi mtu mwingine?
Kazi ipo kubwa sana.Kila kitu kinawezekana, Je huko unakokwenda kama una ukaribu nao wanaweza kukulindia nafasi yako lakini kama hakuna mtu unaemjua wanaweza kufanya uhuni vile vile hasa HR wakauza nafasi kwa mwingine ambaye akapambana na kibali kikatoka kabla yako akaingia.
Mimi nina ushuhuda wa jamaa mmoja kapewa kibali cha kwenda kuripoti akachelewa kwa mwezi mmoja. Siku anaenda akakuta kuna mtu karipoti kwenye nafasi yake kama wiki mbili nyuma. Wakamwambia tayari kuna mtu. Ikabidi arudi Dodoma kwa katibu mkuu alikopewa barua ile. inavyoonekana aliyerioti ni mzito kuliko yule mtoto wa masikini uliyetumia ESS. Akapangiwa taasisi nyingine ingawa haikuwa nzuri kama ile ya awali aliyoikosa.
Taasisi tamu zina fitina nyingi unless uwe na taaluma unique kama za engineering, computer science e.t.c lakini kwa hizi fani za HR, Accounts na jamii ya hizo dakika sifuri watu wanakugeuka
hapo sijakuelewa mtaalam, yani mtu umeomba transfer, badala ya kupewa ya barua ya UHAMISHO, utapewa barua ya KUAZIMWA? why? so far kila ninae fahamu aliewahi kuhama barua yake ina heading ya UHAMISHO.
Mkuu kwa upande wangu nimekuelewa kabisa. Nimekumbuka 2020 supervisor wetu alitutangazia staff mwezetu kaazimwa na taasisi fulani. Ila jamaa alienda mazima hadi leo.View attachment 3644989
Unapoomba uhamisho kutoka mamlaka moja ya ajira kwenda nyingine ambayo power hiyo anayo KM Utumishi huwa hauendi moja kwa moja. Wanakuhamisha kwa kukuazima kwa kipindi cha mwaka mmoja kama matazamio ili kuwapa wewe na mwajiri wako mpya nafasi ya kuamua kubatilisha huo uhamisho.
Baada ya kipindi hicho kukamilika, mwajiri wako mpya ataamua iwapo atakuchukua kama mtumishi wake wa kudumu au utarejeshwa kwa mwajiri wako wa zamani. Vile vile utapaswa kuamua iwapo utataka kuendelea na mwajiri wako mpya mpya au unataka kurejea kwa mwajiri wako wa awali.
Mkuu, hii screenshot si ni kibali cha mtumishi hivi karibuni..?View attachment 3644989
Unapoomba uhamisho kutoka mamlaka moja ya ajira kwenda nyingine ambayo power hiyo anayo KM Utumishi huwa hauendi moja kwa moja. Wanakuhamisha kwa kukuazima kwa kipindi cha mwaka mmoja kama matazamio ili kuwapa wewe na mwajiri wako mpya nafasi ya kuamua kubatilisha huo uhamisho.
Baada ya kipindi hicho kukamilika, mwajiri wako mpya ataamua iwapo atakuchukua kama mtumishi wake wa kudumu au utarejeshwa kwa mwajiri wako wa zamani. Vile vile utapaswa kuamua iwapo utataka kuendelea na mwajiri wako mpya mpya au unataka kurejea kwa mwajiri wako wa awali.
endapo nimeazimwa, huko ninapoenda kama kuna salary kubwa kuzidi nilipo, je salary yangu itakua ya huko destination au salary yangu itabaki ile ile niliotoka nayo taasisi ya awali...kwa hio case ya kuazimwaView attachment 3644989
Unapoomba uhamisho kutoka mamlaka moja ya ajira kwenda nyingine ambayo power hiyo anayo KM Utumishi huwa hauendi moja kwa moja. Wanakuhamisha kwa kukuazima kwa kipindi cha mwaka mmoja kama matazamio ili kuwapa wewe na mwajiri wako mpya nafasi ya kuamua kubatilisha huo uhamisho.
Baada ya kipindi hicho kukamilika, mwajiri wako mpya ataamua iwapo atakuchukua kama mtumishi wake wa kudumu au utarejeshwa kwa mwajiri wako wa zamani. Vile vile utapaswa kuamua iwapo utataka kuendelea na mwajiri wako mpya mpya au unataka kurejea kwa mwajiri wako wa awali.
Katika kipindi hicho mshahara wako unakua wa kule unapoenda.endapo nimeazimwa, huko ninapoenda kama kuna salalry kubwa kuzidi nilipo, je salary yangu itakua ya huko destination au salary yangu itabaki ile ile niliotaka nayo taasisi ya awali...kwa hio case ya kuazimwa
Wakuu hamtaki kuhamia Ofisi ya Msajili wa Hazina? Mbona wanatoa tangazo la marudio la nafasi za kuhamia?
Weka hizo barua kwenye mfumo, then utajibiwa. Mwanzo walikuwa wanapokea barua hasa kwa Taasisi ambazo zilikuwa bado hazijaingizwa kwenye mfumo wa E-Tranfer kamaWakuu: Mfano umeomba uhamisho nje ya mfumo na kila kitu kimeenda vzr kuanzia kupitishiw barua na Mwajiri wako kwenda kule kwa Mwajiri mpya.
Je ni procedures zip huw zinafata?
Je nani anayepambania Utumishi (mfn, unapoenda pia wanakujitaji)?
Je zoezi la uhamisho linaweza chukua muda gani? (Mamlaka ni kubwa).
Nawe ulianza kuomba Vacancy transfer..?
Ndio Mwajiri wako ataliona kwenda mfumo hivyo atapaswa kukataa au kukubali,Ukiweka ombi Vacancy request kwenda taasisi nyingine muajiri wako analiona?
Nauliza vacancy request nayo inatakiwa kupitishwa na muajiri?
Issue yako ni nyepesi sana usisubiri wakujibu wewe piga simu moja kwa moja kwenye namba yao ya huduma kwa wateja piga mara nyingi iwezekanavyo wasipopokea waandikie kwenye ukurasa wa malalamiko e-mrejesho hapa hujibu ndani ya siku 3-5 wakichelewa nenda Dodoma swalalako linaisha siku hiyo hiyoHivi wakuu kama mtu aliajiriwa utumishi baada ya kwenda kuripoti kwa mwajiri zile siku 14 akapata kazi kwenye taasisi ya serikali ambayo haitumii check namba baada ya muda ile taasisi ya mwanzo inamwambia mchakato wa check namba tayari akaripoti aanze kazi, baada ya hapo akaawaandikiq barua kuwa amepata sehemu nyingine na wakakubali wakamtoa kwenye mfumo wa mishahara, sasa mwaka mpya wa fedha taasisi hii mpya imehamia kwenye check namba, anaambiwa na utumishi arudishe mshahara wa mwanzo wa ile taasisi wakati hakulipwa, je inachukua muda gani kukubaliwa ombi na katibu mkuu utumishi kuhusu matumizi ya check namba ya awali???, naombeni muongozo hapo
Shukran sana MkuuIssue yako ni nyepesi sana usisubiri wakujibu wewe piga simu moja kwa moja kwenye namba yao ya huduma kwa wateja piga mara nyingi iwezekanavyo wasipopokea waandikie kwenye ukurasa wa malalamiko e-mrejesho hapa hujibu ndani ya siku 3-5 wakichelewa nenda Dodoma swalalako linaisha siku hiyo hiyo