HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza,kwenye destination institution vacancy request inakaa sku ngapi ndio ipite automatically
1. Vacancy Request
10 Days

Normal Transfer
1. Supervisor = 3
2. Mkuu wa Kitengo/Idara = 4
3. Afisa Utumishi = 4
4. Accounting Officer = 10

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Watu wamekuwahi hizo nafasi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
1. Vacancy Request
10 Days

Normal Transfer
1. Supervisor = 3
2. Mkuu wa Kitengo/Idara = 4
3. Afisa Utumishi = 4
4. Accounting Officer = 10

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwenye vacancy request kwa destinantion institution inakuwa accept automatically ikipita siku 10 lakini kimbembe kwenye taasisi unayohama inakuwa ngumu kuaccept automatically hata zikipita hizo siku mpaka uongee nao wakupitishie bila ya hivyo itakaa sana
 
1. Vacancy Request
10 Days

Normal Transfer
1. Supervisor = 3
2. Mkuu wa Kitengo/Idara = 4
3. Afisa Utumishi = 4
4. Accounting Officer = 10

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Mimi my Inst. 10 days ila destination org ni 14days sasa bado
 
Kwako lazima wapitishe wenyewe hivyo ni lazima utoe taarifa. Ikipita auto watajuaje kama unaondoka..? Je, kama Bado wanakuhitaji. So jambo la msingi ukisha-create transfer wasiliana na Mwajiri wako ili akupe baraka zote.
 
Nikiona watu wanaangaika na vibali napata hasira sana, kwanini sikuajiriwa mapema namm ningekua nachangia hapa kwa amani.

Miaka 3 mingi sana hata kuthibitishwa bado 😭😭😭
 
JAMANI LEO KUNA ALIYEPATA BARUA YA UHAMISHO..?
Maana weekend Huwa wanatoaga sana vibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…