Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #121
Naona umewatag walimu wenzako, sisi wa idara nyingine kwenye taasisi zinazojitegemea tukae kimya. Ila naimani utafanikiwa as long as it has already been approved. Nenda Dom kaka personally, utanishukuru
Unaomba Taasisi gani mkuu tukusaidie..?Inshu ya kuomba nafasi ya kuhamia mbona kila nikigusa inanikatalia kuna mtu amesha toboa kweli? Jumbe nyingi mara no vacancy mara no designation
Inamaana huko unakotaka kwenda nafasi hakuna.Inshu ya kuomba nafasi ya kuhamia mbona kila nikigusa inanikatalia kuna mtu amesha toboa kweli? Jumbe nyingi mara no vacancy mara no designation
Unahama ila kwa connection.Mimi nauliza tuseme mtu ameajiliwa amefikisha mwaka Mmoja na akapewa barua ya kuzibitishwa je anaweza kuhama? Pia ikiwa mtu huyu ana connection anapotaka kwenda Kuna dalili ya kupokelewa je Kuna haja ya kujaza kwenye mfumo kuomba kuhama au ni mwendo wa barua tu?
Sio mwaka hata wiki tu unahama kama una connection.Ambaye amefikisha tu mwaka kazini je anaweza kuhama?
Oky shukurani ngoja mwaka uishe nianze kusumbua watu.nilipo naona mapichapicha tu ingawa kwenye taasisi.kifupi naikubali sana TBSUnahama ila kwa connection.
Kwa kutumia ESS ni baada ya miaka mitatu ila kwa connection INAWEZEKANA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ngoja kwanza nipewe barua MkuuSio mwaka hata wiki tu unahama kama una connection.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kama unawatu wa kuwasumbua HONGERA.Oky shukurani ngoja mwaka uishe nianze kusumbua watu.nilipo naona mapichapicha tu ingawa kwenye taasisi.kifupi naikubali sana TBS
Kwahyo akienda tu Dodoma wakamuona physically watachakata ombi lake chap, ndio una maanisha..Naona umewatag walimu wenzako, sisi wa idara nyingine kwenye taasisi zinazojitegemea tukae kimya. Ila naimani utafanikiwa as long as it has already been approved. Nenda Dom kaka personally, utanishukuru
Ngoja kwanza nipewe baruaSio mwaka hata wiki tu unahama kama una connection.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwenye jambo langu ukweli Mimi msumbufuKama unawatu wa kuwasumbua HONGERA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwasababu unae wa kumsumbua.Kwenye jambo langu ukweli Mimi msumbufu
Fanya hivyo kama ulivyoambiwa.Wakuu mimi nilitaka kuhama sababu ni medical reason, ninayo report ya Daktari.
Niliweka ombi langu kwenye mfumo, mwajiri akakubari, ila ombi likakataa kutumwa sababu sijamaliza miaka mitatu.
Nikawasiliana nao wizarani wakaniambia niende kwa Katibu tawala yeye ndio aandike barua kuniombea.
Oya miak 14 ni haki yako kusepaMwajiri nilimpigia simu, kiroho safi alikubali na alinibariki niondoke.
Nina miaka 14 Halmashauri, Masters nilimaliza 2020..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hizo nijitihada ambazo anaweza kuzifuata kwa mifumo ambayo wamejitengenezea "Know who" ila tunapoelekea ni ukombozi halisi wa kiakili, uwezo na uwajibikaji. Sisi ni watanzania na nilazima tupiganie vizazi vyetu vijavyo. If you're keen enough to understand what I mean.... asante sanaKwahyo akienda tu Dodoma wakamuona physically watachakata ombi lake chap, ndio una maanisha..