HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza, sijathibitishwa kazn bado lkn nataka kuhama, nikienda utumishi Dodoma watanisikiliza hoja zangu? Au najisumbua au nianzie tamisemi? Nipo Arusha nataka kwenda pwani mwalimu mathematics
Chief, sipo kada yako. Ila nimeona watu wa kada ya afya wakihama kabla ya miaka 3 na hata bila kuthibitishwa. Ila hii ilihitaji connection.

Wengine ilibidi kuonyesha relevant documents za ishu za afya. Kama documents zako ni za afya sidhani kama kuna mtu utamshawishi kwamba pwani ina huduma nzuri za afya kuliko Dar au Arusha.
 
Pwani namaanisha kibaha ni karibu na mloganzila kulko manzese , tandale chanika mbagala na Gongo la mboto
 
Hii E-TRANSFER naona Haina mpya Tena hapa hadi mwisho wa mwezi Tena watu waje kutoa mrejesho
 
H
hahaha kwa hiyo term hii ilikuwa mwendo wa Rejected,kama umepona subiri kibali tu mzee
Hivi mkuu kwanini kule Tamisemi hawatoi hata hizo rejected maana naona waalimu wanalalamika maombi kukaa miezi mingi bila majibu..
 
Kama ulipata vacancy, ni bora wangesema kuwa nafasi zimekwishajazwa tayari kuliko hiyo ya "hakuna nafasi iliyobainika" LABDA kama uliomba kupitia dirisha la Normal transfernaomba
Hivi inawezana vacancy ziko 10 kulingana na budget Yao!Waombaji wa hizo nafasi waliopewa nafasi(accepted) wanaweza kuwa zaidi ya 10 na maombi yanaenda utumishi?
 
Kubababake mtu ushapiga hesabu ukihamia WCF unakua mkristo safi hutaki hata maneno na watu wa online maneno yasije tumika kukuanzishia zengwe.

Utumishi looked at your dreams and said "Fvck this nigga"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Kwenye red, kuna transfers nyingi tu za nje ya mfumo.
 

Hawa wengi wao tuliwarudisha maana zile transfers zao zilikua za kihuni. Kumbuka, very exceptional cases unaweza kuhama kabla hujathibitishwa. Kama uhamisho ni wa kariakoo, utashikwa kwenye kuhamisha mshahara tu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…