kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
hahhaha ndio ivyo sasa sisi wengine duhHii nimefuatilia ina ka ukweli Fulani hivi. Nilianzisha Vacancy request nyingine baada Ile ya awali kuwa rejected. Imekaa kwa head of institution siku 7 bila kuguswa ikabidi nimtembelee ofisini kwake, nikamuomba anipitishie. Duh! Akakubali ila analalamika kwanini ninataka kuhama?. Ndo nikahisi uenda hizi rejected zinatokana na comments zao
hapo vizuri utachomokaHii nimefuatilia ina ka ukweli Fulani hivi. Nilianzisha Vacancy request nyingine baada Ile ya awali kuwa rejected. Imekaa kwa head of institution siku 7 bila kuguswa ikabidi nimtembelee ofisini kwake, nikamuomba anipitishie. Duh! Akakubali ila analalamika kwanini ninataka kuhama?. Ndo nikahisi uenda hizi rejected zinatokana na comments zao
Mkuu naona screenshot ya permit letter, umefanikiwa?
Mbona hajaitolea maelezo kama ni yeye au lahMkuu naona screenshot ya permit letter, umefanikiwa?
Auto majangaWakuu hii auto accept siku 10 zinahesabiwa vipi
Auto si majanga!! Watu wametoboa sana kwa auto accept!!Auto majanga
Mh una ushahidiAuto si majanga!! Watu wametoboa sana kwa auto accept!!
Piga simu utumishi uwaulize hiyo system ya 'auto accept' waliweka kwa bahati mbaya au ilikua na maana!Mh una ushahidi
MHPiga simu utumishi uwaulize hiyo system ya 'auto accept' waliweka kwa bahati mbaya au ilikua na maana!
Aache roho mbaya. Mbona wanapitisha barua za watu kuomba likizo isiyo na malipo kwenda kugombea ubunge. Hajui ukiwa mbunge unaanza kutunga sera zinazoathiri hadi taasisi/ofisi yake! sembuse TRA tu hapo ambapo ni pa kawaida sana.Hahahahaha Yan unamuacha boss wako wewe unaenda TRA unadhani atakukubalia
Aaaah changamoto sana, mimi nilijua mkiunganishwa kama hivi basi mishahara yenu inahama inaenda kwenye scale zile za kwenye taasisi kubwaKwa ufupi mfumo wa ESS unahitaji maboresho mengi sana madogo madogo ambayo yasipoangaliwa kwa jicho huru na makini yatawasababishia watumishi magonjwa ya sonona na mengineyo kama hayo.
Mfano hai: kuna mdau alikuwa anafanya kazi taasisi X kwa miaka zaidi ya 12 alipambana sana kuhama wakati ule wa kuhama kwa taratibu za barua za hardcopy, ila unajua tena zamani maofisini mambo yalivyokuwa magumu kuruhusu uhamisho.
Kwa bahati nzuri au mbaya likatoka tangazo Wizara imeiunganisha ile taasisi X kwenda taasisi nyingine kubwa Y, Hivyo wafanyakazi wote wakawa wanasoma taasisi Y na kwenye mfumo barua ikawekwa wamehamishwa. Tatizo linakuja kilichobadilika kwao ni jina ila mazingira ya kazi wapo kituo kile kile na kila wakijaribu kuomba kuhama hata kama taasisi Y imeruhusu wao kuondoka katika Mfumo ESS unawakataa ukiandika hawajamaliza miaka mi3 katika taasisi waliyopo sasa.
Hii inamaanisha wamepoteza haki zao za kuhama japo wameweza kutumikia pale kwa miaka zaidi ya 12 na wapo mazingira yale yale kilichobadirika ni namba ya mwajiri tuu.
TAMISEMIHivi Hawa waliopata vibali Leo ni WA Tamisemi au Utumishi..?
TamisemiHivi Hawa waliopata vibali Leo ni WA Tamisemi au Utumishi..?
Hongera zakeUshuhuda mwingine huu