Umejibu kiuungwana sana. AsanteKwa uelewa wangu mimi.
1. Status inaweza kuchukua kuanzia miezi sita hadi mwaka hadi kupata majibu ya uhamisho wako. Na hii naisema kutokana na experience ambayo mimi nilipitia ili kuhama lakini na wale ambao niliweza saidia kuhama kupitia mfumo. Hii ni kutokana na bajeti ambayo huwa umetengwa pia.
2. Mwenye final say ya wewe uhame au la ni Katibu mkuu Tamisemi. Sasa kupata au kukosa hutegemea na sababu ambayo imeambatana na ombi lako la uhamisho pamoja na viambata ambavyo utakuwa umeweka wakati unaomba. Sababu ikiwa ya msingi na ushahidi wa documents unathibitisha hilo basi kwa 100% unapata uhamisho bila kikwazo. Kumbuka Government works on Paper so documents kama zilikuwa fresh unapata transfer.
3. Usijisumbue kwenda Dodoma kama umeshaomba uhamisho kwenye mfumo. Kaa tulia subiria majibu yako. Kwenda Dodoma kutakufanya upoteze nauli tu na unaweza angukia kwenye kutapeliwa pia
Mfano mimi ni uhamisho wa kubadilishana na wote tunafuata familia zetu(ndoa)Kwa uelewa wangu mimi.
1. Status inaweza kuchukua kuanzia miezi sita hadi mwaka hadi kupata majibu ya uhamisho wako. Na hii naisema kutokana na experience ambayo mimi nilipitia ili kuhama lakini na wale ambao niliweza saidia kuhama kupitia mfumo. Hii ni kutokana na bajeti ambayo huwa umetengwa pia.
2. Mwenye final say ya wewe uhame au la ni Katibu mkuu Tamisemi. Sasa kupata au kukosa hutegemea na sababu ambayo imeambatana na ombi lako la uhamisho pamoja na viambata ambavyo utakuwa umeweka wakati unaomba. Sababu ikiwa ya msingi na ushahidi wa documents unathibitisha hilo basi kwa 100% unapata uhamisho bila kikwazo. Kumbuka Government works on Paper so documents kama zilikuwa fresh unapata transfer.
3. Usijisumbue kwenda Dodoma kama umeshaomba uhamisho kwenye mfumo. Kaa tulia subiria majibu yako. Kwenda Dodoma kutakufanya upoteze nauli tu na unaweza angukia kwenye kutapeliwa pia
KwaioUtumishi - Kutoka taasisi moja kwenda nyingine/wizara moja kwenda wizara moja kwenda nyingine/halmashauri kwenda wizarani/wizarani kwenda halmashauri/halmashauri kwenda taasisi/taasisi kwenda halmashauri
TAMISEMI - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine
RAS - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine ndani ya mkoa wake
DED - Kutoka work station moja kwenda nyingine ndani ya halmashauri yake
Kwaio
Naweza omba toka trc kwenda taa kuputia tu katibu wa uchukuzi, sababu wote wapo chini ya Wizara moja ya Uchukuzi?
Vyuo vya Ualimu uwe daraja tgts E, kuomba kama upo Ndani ya Wizara ya Elimu Sayansi na teknolojia,basi andika barua Aya kuomba kuhamishiwa vyuo vya Ualimu,ila kama upo Tamisemi ess inakuhusu,omba kuhamia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia,ukisha pata utaomba wangupangie vyuo vya UalimuJamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba mwenye kuweza anisaidie kupata connection ya kuwa mkufunzi vyuo vya kati vya ualimu....au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima. Nina miaka 13 kazini na elimu inatosha kujiunga kwenye hizo nafasi.
Natanguliza shukrani za dhati.
Nipo tgts E chini ya TAMISEMI. Kuchomoka sasa kwenda WeST ndo kamzozoVyuo vya Ualimu uwe daraja tgts E, kuomba kama upo Ndani ya Wizara ya Elimu Sayansi na teknolojia,basi andika barua Aya kuomba kuhamishiwa vyuo vya Ualimu,ila kama upo Tamisemi ess inakuhusu,omba kuhamia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia,ukisha pata utaomba wangupangie vyuo vya Ualimu
Cha msingi omba Sana Mungu maana wapo wanaotaka uzeeke hapo hapo
Akipatikana nishtue na mm posho ipo mfuko wa shati 3MJamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba mwenye kuweza anisaidie kupata connection ya kuwa mkufunzi vyuo vya kati vya ualimu....au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima. Nina miaka 13 kazini na elimu inatosha kujiunga kwenye hizo nafasi.
Natanguliza shukrani za dhati.
Naona wew ndo umechoka zaidi na hapo ulipo mkuu😂Akipatikana nishtue na mm posho ipo mfuko wa shati 3M
sana kaka isitoshe mfumo nako una mapicha picha mengiNaona wew ndo umechoka zaidi na hapo ulipo mkuu😂
Nyakati ngumu hazidumu.Ipo sikusana kaka isitoshe mfumo nako una mapicha picha mengi
Utatapeliwa. Connection za maana huwa hazitangulizwi pesa.Akipatikana nishtue na mm posho ipo mfuko wa shati 3M
Asante mkuu, tuwe tunashtuana hivyohivyo!Ess umesha Rudi hewani
UsijaliAsante mkuu, tuwe tunashtuana hivyohivyo!
Hapa ni changamoto. Ukitumia Normal transfer inaenda vizuri ila ikifika kwa Head of Department ngoma inagoma nakurudiWazee tunatokaje hapa vacancy not budgeted
Ewaa wewe sasa umesema, hata mimi baada ya kulamba rejected nimeona ess ni uchawi tu nasaka namna ya kusepa kupitia nje ya mfumo tu.Jamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.