HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Kila la heri 😆
 
Ndugu hii me nimepambana nayo sana jamaa wa utumishi wenyewe tu kwanza hawatak mazoeaaa nimekula majibu makavu sana kwa hawa watu ikafika time nikasema basi liwalo na liwe
Ulienda ukatafuta mtu,au unatumia simu? Hakuna waokubali kwa simu labda uwe unamjua au kupitia mtu.Vinginevyo fika pale tafuta kishoka fully stop.Vingenevyo tutahangaika sana.Nasubiria yangu ikifika utumishi .Naenda nitawapa mrejesho.Mkaa bure sio sawa na mtembea bure.
 

Me kuna jamaa nipo nae hapa kazini ni ndugu yake yupo huko alizungumza nae ili aniunganisha nae jamaa akjibiwa nilishaa kusaidia wewe kwahyo tulia, mwengine nae jamaa ake alimpigia ili aniunganisha nae akamjibu achana nae afate taratibu za kwenye mfumo mwengine kasema lipo nje ya uwezo wangu wakati unajua yeye kwa kiasi flanii ni daraja
 
achana nae tafuta chaka zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…