HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tatizo Mawaraka ni mingi halafu hayana tija yoyote. Mbona maombi hayo yanapita hadi kwao ila hawajibu maombi yanakaa zaidi ya 3 months mpaka 6. Pia, hayo maombi yalipita yenyewe yanakataliwa, Tena yanakaa siku mingi bila kujibiwa, Just imagine ombi linakaa miezi 3 hadi 4 halafu linakataliwa.
Hakuna fair hapo
 

Auto sio tiketi ya kukosa na comments za mkuu wa taasisi sio tiketi ya kupata!! IKAMA ya unakotoka na maoni ya mwajiri wako ndo kusema!!
 
Habari za wakati huu, ndugu zangu.

Naomba ufafanuzi kuhusu mfumo wa Utumishi. Je, nafasi zilizotangazwa zikishajaa, mfumo huzuia waombaji wengine kwa kuonyesha ujumbe wa “Vacancy Filled”, au kuna utaratibu mwingine unaotumika kudhibiti maombi?

Nitashukuru kupata ufafanuzi kutoka kwa mwenye uelewa kuhusu jambo hili. Asanteni.
 
Wale mnaosubiri vibali naona tarehe za vibali zimewadia, Sikilizie kuanzia kesho 26 - 30 Oct
 
Hakuna nafasi zilizo tangazwa
 
Endeleeni na illusion huo mfumo umekuja kuzuia uhamisho ila mnajitoa ufahamu,wake up mnapotezewa muda.

Poleni.
Nakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
 
Nakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
Duh Sasa miezi nane yote
 
Nakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
Pia Bora ss wengine tuchague taasisi za kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…