Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Hivi alifariki au alizimia?
Kwa kumbukumbu zangu, hakufariki ila alikutwa hoi! Na baada ya lile tulio, Muitaliano akatimuliwa na kurudi kwao kabla hajamaliza "holiday" yake!
 
we unaonekana una IQ ndogo sana, soma nilichoandika ndo utoe maoni
ungekua na IQ kubwa ungetengeneza Maroketi ya Falcon X,time travel machine na ungeunda UFOs achilia Mbali ungeanzisha kiwanda Cha katengeneza wembe na sindano Ili tusiagize Toka china na India.
C'mon dude cool down and take easy utapata ugonjwa wa moyo Kila kitu ukichukulia seriously!
😁😁😁😁
 
Mwamba una majibu ya hekima sana, watu wanakutusi na kukuuliza kwa kejeli ila wewe unawaelewesha kwa upole na hekima! Wewe ni muungwana, toka mwanzo wa thread hii nimefuatilia replies zako.

You are civilized!
 
Mwamba una majibu ya hekima sana, watu wanakutusi na kukuuliza kwa kejeli ila wewe unawaelewesha kwa upole na hekima! Wewe ni muungwana, toka mwanzo wa thread hii nimefuatilia replies zako.

You are civilized!
mkuu shukrani Sana,Ndio Hivyo inatupasa tuishi na watu Kwa hekima Sana maana Katika Jamii Kuna Kila aina za watu,wengine waelewa,wengine wagumu,wengine Wana frustration za maisha,sadist,wabishi,wajuaji,
wajivuni na wengine wengi ila ukiwachukulia seriously watakukatisha tamaa!
Hivyo inakupasa uwe na balance japo Kuna wengine wanaboa Sana ila Haina namna!
😁😁😁😁
 
Makaburu wameishi na waafrika miaka karibia mia 400 hakuna wasichokijua
Makaburu ni waafrika tu, wamisri, wahindi na wazungu wa zimbabwe ni waafrika kwa tabia.
Uzungu na Uarabu ni tabia sio rangi, mwarabu wa Dubai usije linganisha na mwarabu wa unguja au moroco, halikadharika wazungu waliokulia Afrika usije linganisha na wa ulaya ni vitu viwili tofauti .
Tukumbuke tabia hujengwa na mazingira na hali ya uchumi wa nchi sio na rangi ya mtu.
 
Mzungu mwenyewe Bongozozo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sidhani kama wanawafikia waisraeli
Sidhani kama wanawafikia waisraeli
Nao ni masikini kama makaburu.
Makaburu ni masikini tu kama wabantu.
Hao matajiri wachache wa SA wasiwaumize kichwa.
Islael sio nchi tajiri bali ni uchumi wakati na wanateknolojia ya kuwasaidia wenyewe.
Sijawahi sikia mtu anawaza kwenda islael akatafute maisha ili atoboe .
Kwa mashariki ya kati bora hata nchi za mafuta kama Qatar,brunei, Dubai huenda ukaokota vihela, sio islael au oman umeliwa.
Kumbuka islael hakuna resource za maana zaidi ya viwanda, ni jangwani mkuu hivyo usitegemee msaada sana kwao.
 
Hivi unalala vipi na mtu ambaye kiumri ni sawa na mama yako au bibi yako?!

Dah laana zingine hizi. 6
Hivi unalala vipi na mtu ambaye kiumri ni sawa na mama yako au bibi yako?!

Dah laana zingine hizi. 6
Hivi inakuwaje mimi nina miaka 40+ ninalala na vibint vya 20+ hivi si sawa na vitoto vyangu ?
Swali ni kwamba nani alikwambia kulalana lazima mfanane umr ?
Kanuni ni kwamba mtu akibalehe tu anaweza tumiwa na mtu mwenzie alie balehe bika kizuizi cha miaka.
Kama kipo kitabu kimeainisha mahusiano kuzingatia miaka nijuze.
Si baba wala si mama, si mwalimu, si shehe, si mchungaji aliewahi niambia nitafute mwanamke kwa kuhesabu miaka yake, je wewe umetoa wapi ?
Mazoea tusifanye kuwa sheria.
 
Acha kujitetea LOKOLE
 
Kunja ngumi , jipige kifuani alafu sema kimoyomoyo mimi ni mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…