Kuhoji na ujinga ni vitu viwili tofauti.mkuu nchi hii ukihoji unapigwa nakuumizwa.kwahio watu wamenyamaza unawaona wajinga.
hio simba na yanga ingekuwa nayo ukiongea unapigwa watu wange ufyata
Propaganda zipi wakati nimekutajia na mifano?😁😁 Mkuu wewe ndiyo umelishwa propaganda, Hayati Baba wa Taifa sio sababu ya sisi kuendelea kuwa wajinga.
katika hao ng'ombe waliotajwa kwenye huu uzi, mmojawapo aliyeandika haya manenoUliwahi kuona wapi Nyerere amewekeza kwenye Elimu zaidi ya zile zile za wakoloni?
Aliona ni Bora kutumia pesa za Nchi kwenda kuanzisha vita ya Idd Amin kumsaidia Jamaa yake Obote.
Aliona Bora msalie wajinga ila atymie pesa za Umma ma Rasilimali watu nk kusambaza wanajeshi nk kupigana kwenye Nchi zingine.
Kimsingi hana lolote la maana Aliwahi fanya kwenye mambo ya Maendeleo zaidi ya kukandamiza Wapinzani wake na kuwapoteza.
Hoja Iko clear aliwekeza kwenye propaganda badala ya Elimu na UchumiMkuu tatizo ume dwell kwenye kulaumu tu kuhusu Baba wa Taifa hauna hoja.
Kuna watu wanafikiri ccm ni aina ya watu.Watanzania ni wale wale wanaozunguka kwenye hivi vyama.Hakuna mtanzania mpya ndo maana tunashindwa kujenga mazingira ya kujiongoza.Aise ni huzuni Mkuu me nazani shida ni Watanzania sio chama. cuz CCM ni chama tu ambacho ndani yake Kuna Watanzania.
Hivyo basi hata kama CHADEMA au CHAUMA ikishika uongozi shida itakuwa palepale cuz shida sio chama shida ni Watanzania Mkuu.
Rejea waliposema kilakiongozi akaguriwe ukwasi anaomiliki nini kilitokea unajua kuna watu walikua na elimu kubwa kumzidi nyerere nawali kua bench una mjua tumtemeke sangaSio kweli Mkuu isome historia ya nchi yako vizuri acha lawama na kuamini umbea umbea kuhusu hayati Baba wa Taifa.
Hakika Mkuu wewe umeelewa, Watu wanapiga kelele tu shida sio chama shida ni Watanzania wenyewe.Kuna watu wanafikiri ccm ni aina ya watu.Watanzania ni wale wale wanaozunguka kwenye hivi vyama.Hakuna mtanzania mpya ndo maana tunashindwa kujenga mazingira ya kujiongoza.
Mkuu uoga ni hofu, ujinga ni kukosa maarifa ya kitu, mfano kutojua kusoma na kuandika kwa maana yetu waswahili.Mkuu naomba maana ya "uonga"?
Mtu asiye mjinga hofu/uoga hautakaa ndani yake cuz anamini kile anacho kipigania ni sahihi.
80% hakuna kiongozi ambaye anaweza kuweka usawa ndiomaana leohii nikikuuliza wewe serikali imekusaidia nn unaweza usijibuAise ni huzuni Mkuu me nazani shida ni Watanzania sio chama. cuz CCM ni chama tu ambacho ndani yake Kuna Watanzania.
Hivyo basi hata kama CHADEMA au CHAUMA ikishika uongozi shida itakuwa palepale cuz shida sio chama shida ni Watanzania Mkuu.
Umeona hoja zako Mkuu, We talking about our country wewe unazungumzia mtu.Rejea waliposema kilakiongozi akaguriwe ukwasi anaomiliki nini kilitokea unajua kuna watu walikua na elimu kubwa kumzidi nyerere nawali kua bench una mjua tumtemeke sanga
Inchininajengwa nawatu hujajibu hoja ndiomaana wanakwambia mabadiriko huanza na weweUmeona hoja zako Mkuu, We talking about our country wewe unazungumzia mtu.
Nadhani kuna mambo mawili muhimu tunapaswa tukubaliane kama matatizo makuu ya kitanzania.Mkuu nikizungumzia ujinga ni kwa upana naona wewe umeengemea upande mmoja Watanzania tuna ujinga katika Kila sekta mifano mbona ipo wazi kabisa au nikupe michache?
Uoga sio ujinga, ni matokeo ya kutumia akili na kutambua hatari zilizopo katika kufanya maamuzi flani.Uoga ndiyo ujinga mwenyewe Mkuu.
Watanzania wengi wanaujinga ujinga Sana kama haujaelewa bado sema nikupe mifano.
Mkuu nasikitika sana kuona bado haujanielewa ngoja nikueleweshe kutokana na definition yako ya uoga vs ujinga. 👇Mkuu uoga ni hofu, ujinga ni kukosa maarifa ya kitu, mfano kutojua kusoma na kuandika kwa maana yetu waswahili.
Unaweza usiwe muoga bali mjinga au mjinga na muoga.
Ndio shida ya kukaa na wazee waongo waongo ambao kwanza walikuwa watoro shule na wanapenda kutunga uongo.Mkuu vijana wengi hawajui historia ya nchi yao wanamzushi hayati Baba wa Taifa maneno ya umbea umbea tu.
Wanasahau kipindi hicho kiswahili chenyewe watu walikuwa hawawezi watu wengi walikuwa wanaongea lugha za makabila yao.