Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
mamioto yanayokimbizwa Tz nzima ndio yanayopumbaza akili za watz hasa waTanganyika, tusipostuka mapema ...Kwa Africa sidhani kama kuna Taifa Lina Manyumbu zaidi ya Tanzania
mamioto yanayokimbizwa Tz nzima ndio yanayopumbaza akili za watz hasa waTanganyika, tusipostuka mapema ...Kwa Africa sidhani kama kuna Taifa Lina Manyumbu zaidi ya Tanzania
Mkuu me naamini hakuna mwana siasa anaweza kuniletea maendeleo yangu binafsi au kuleta chakula mezani Kwa ajili yangu na familia yangu au yako.80% hakuna kiongozi ambaye anaweza kuweka usawa ndiomaana leohii nikikuuliza wewe serikali imekusaidia nn unaweza usijibu
Ishakula kwetumamioto yanayokimbizwa Tz nzima ndio yanayopumbaza akili za watz hasa waTanganyika, tusipostuka mapema ...
Ni kweli Mkuu mabadiriko huanza na Mimi au wewe.Inchininajengwa nawatu hujajibu hoja ndiomaana wanakwambia mabadiriko huanza na wewe
Mkuu kutokustaarabika ni kutokana na ujinga. Ujinga ujinga ni mzigo Kwa jamii yetu.Nadhani kuna mambo mawili muhimu tunapaswa tukubaliane kama matatizo makuu ya kitanzania.
Kuna ujinga na kutostaarabika. Tusichanganye hayo mambo mawili sababu kuna ambalo ni la asili na kuna jengine ni ukosefu wa malezi bora.
Unaweza kuendelea kunipa mifano iliopo wazi.
Hana cha ziada zaidi ya KULA, KUNYER na KUMSIFIA Samia(K.K.K)Wewe umefanya nini cha maana chenye impact kwa jamii yako? ACHA UJINGA!
Hapana Mkuu mkubwa anakosea.Uoga sio ujinga, ni matokeo ya kutumia akili na kutambua hatari zilizopo katika kufanya maamuzi flani.
Tunaishi katika zama ambazo wenye madaraka ni watu makatili sana wasiopenda kusikia maoni au mawazo mbadala.
Watanzania kuwa waoga ni effect ya malezi mabaya toka utotoni ya kwamba mkubwa hakosei. Je, ni kweli kwamba mkubwa hakosei?
Wazee wajinga wajinga wamewaaminisha ujinga vijana wao nawao wamekuwa mwendelezo wa ujinga katika Taifa hili.Ndio shida ya kukaa na wazee waongo waongo ambao kwanza walikuwa watoro shule na wanapenda kutunga uongo.
Utasikia nyerere alikuwa anaangalia tv halafu akiamka anasema ameota taifa fulani kuna kitu kimetokea.
Muulize hiyo speech alikuwa anaitoa wapi lini na mwaka gani uone anavyobabaika kujibu.
Speech za Nyerere nyingi zipo recorded.
Hatuja jiondoa ndiyo maana tunaendelea kuelimishana Kwa lugha zote ujinga ni mwingi Mkuu.Kwahiyo nyie mnaohoji ujinga wa SISI WATANZANIA mnakuwa Miongoni mwetu ama nyie mlishajiondoa?
Mkijioenda na mkapenda chenu mtaipenda nchi yenu dhidi ya propaganda za ndani na nje.
Kamakunakitu basi nyerere alifeli nikitu kinaitwa UJAMAANi kweli Mkuu mabadiriko huanza na Mimi au wewe.
Lakini hoja ulizo zisema wewe ni vitu personal utajuaje kama mzee Sanga alikuwa mpiga dili kwa nyakati hizo(pesa haramu)?
Ujinga ni hali ya kutojua kitu fulani, sasa kwa watanzania sio kua hawajui, wanajua ila wanafanya, so hapo huwezi kuwaita wajinga.Mkuu nasikitika sana kuona bado haujanielewa ngoja nikueleweshe kutokana na definition yako ya uoga vs ujinga. 👇
Umesema ujinga ni kukosa maarifa. Mimi nakwambia Watanzania ni wajinga haijalishi anaelimu au Hana.
MFANO Watanzania wengi wanaujinga huu sio Kwa sababu hawana maarifa Bali ni ujinga tu.
1. Kutokutimiza majukumu (kulea, kufanya kazi, kujituma-uvivu, kushindwa kujisimamia n.k)
2. Miji michafu watu wanatupa taka hovyo hovyo wanataka mpaka wawekewe Sheria Kali ndiyo wafanye usafi mpaka kwenye majumba yao wenyewe.
3. Uzalendo hakuna kwenye Kila sekta.
4. Watanzania tuna ujinga matatizo/shida nyingi Sana sitaweza kuziandika zote Mkuu.
Finally zamani tulikuwa tunapata tabu kuwaelimisha wajinga sasaizi tunapata tabu kuwaelimisha wasomi.
Umeongea ukweli au masimango na kujitukana? Kusema watanzania ni wajinga ndo hoja? Huna adabu kabisa.Mkuu ningekuona unajielewa kama ungejibu hiyo mifano yote niliyo kupa hapo juu.
Lakini fine naona hauna uwezo wakudiscuss our country issues na Mimi.
Naona hauna positive mind katika inchi yako, Mtu kuusema ukweli et ni kibaraka. Wewe naona ndiyo kibaraka cuz hautaki kuiponya jamii yako Kwa kuusema ukweli badala yake unasema ni masimango negative negative mindset.
At least ungejibu Kwa hoja hiyo mifano yangu niliyo kupa hapo juu lakini wewe naona unadank dank as mokey and you have nothing to tell me yani hauna hoja.
Naona kuusema ukweli tulionao Watanzania kwako kumekuwa ukibaraka.
Hauna hoja zaidi umejawa na negative negative mindset.
Umeongea ukweli au masimango na kujitukana? Kusema watanzania ni wajinga ndo hoja? Huna adabu kabisa.
Kiumbe chochote chenye ufahamu na utashi kina namna ya kuona na kutafsiri mazingira yanayomzunguka. Kujificha kwenye kichaka cha mkubwa hakosei kumezalisha matatizo makubwa sana ikiwemo uoga wa kuonekana mkaidi wakati kila mtu ana akili zake.Hapana Mkuu mkubwa anakosea.
Sema sasa sisi hili nalo tumelitolea maana katika upande wa ujinga ujinga ndiyo maana tunashidwa kurekebishana.
lipo la kufanya. na linaendelea, litaiibua Tanganyika tutayafuta mambo yote ya kimizimu na Muungano usioeleweka, soon!Ishakula kwetu
Itakua poa sanalipo la kufanya. na linaendelea, litaiibua Tanganyika tutayafuta mambo yote ya kimizimu na Muungano usioeleweka, soon!