The fact that unafikiri hao maraisi waliofuata ambao umeamua kushabikia wamekuwa na positive impact zaidi kuliko Mwalimu Nyerere....wow... unbelievable...
Alifanya alichofanya in the spirit of Pan-Africanism. Mwalimu Nyerere kusaidia majirani zetu kupata uhuru imetupa sisi Tanzania global cachet ambayo mpaka leo na shida zote ambazo bado tunazo inatusaidia sana kidiplomasia -- tunaheshimika na nchi nyingi ndani na nje ya Afrika kama watu waliokuwa na utu na principles and conviction.
Sio sisi tu mnaosema tunalialia hapa JF, hata huko nje kuna watu kwenye sekta za siasa, uwekezaji, diplomasia, ambao hawaelewi Tanzania inaenda wapi na ni very common kusikia mtu anasema, what happened to Mwalimu Nyerere's Tanzania ?
Mwalimu Nyerere ndiyo kuna miscalculations alizofanya but as a statesman he was absolutely brilliant -- mtake msitake -- kiongozi mwenye nguvu ni ambaye anaheshimika ndani na nje ya nchi. Wakati wa Cold War, Mwalimu Nyerere, hata na sera zake za kijamaa alikuwa anaheshimika na pande zote -- do you understand how rare that was ? Alipata heshima hizo kwasababu alikuwa highly skilled -- hata ambao walikuwa hawakubaliani na misimamo yake walimpa credit kwasababu hakuwa jizi na mkatili kama viongozi wengi wanaosumbua Afrika sasa hivi (na hata back then tbh e.g. Mobutu Sese Seko, Jean-Bédel Bokassa, Idi Amin) -- hata kama kuna sera zilizoumiza watanzania -- alikuwa anaziamini -- sio kuwa alikuwa anaharibu nchi maksudi kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
Mimi nimekwepa sana watu flani JF, labda nipange siku nijibizane nao, ni wasumbufu sana, wanapenda kukwepa hoja na kunyanyasa wenzao, na kuandika uongo ambao wanaona utafurahisha wanamtandao.