Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

Katika historia Mwalimu Nyerere ni moja ya viongozi bora kabisa Afrika na Duniani Kwa ujumla wanao Pinga hawana hoja ni wambea wambea tu wapuuzwe.
Bora kwenye kupigania uhuru na ukombozi wa kifikra ila sio kupigania uhuru wa kiuchumi, maendeleo na Elimu Kwa watu wake.
 
😄 Noma Sana Mkuu ndiyo maana mimi huwa nasema humu Kila siku. Tanzania shida sio chama shida ni Watanzania hata kama Leo CHADEMA au CHAUMA wakishika uongozi shida zitakuwa palepale cuz shida sio chama shida ni Watanzania Mkuu.
Shida ilianzia tulipotengenezewa katiba inayokataza watu kuhoji uhalali wa serikali. They were smart people kuliko hata Nyerere Senior wayback yeye still akiwa madarakani.

So, ukiniambia Watanzania ni wajinga nitakukatalia in bold letters sababu ingalikuwa kweli ni wajinga hadi leo hii kungekuwa na nyumba za nyasi kariakoo.

Hata leo hii, katiba ikibadilishwa watu wakawa free kuhoji mambo mbalimbali ya kitaifa bila kuuwawa na kupewa kesi za uhaini utagundua tuna very smart brains in our country..
 
Nyerere aligoma kubadili Katiba ya Mkoloni baadae akajitungia ya kukonsolidate power yake harafu unataka CCM wabadili Katiba iwanufaishe Wapinzani, thubutu
 
Tatizo sio Nyerere, kwa mtazamo wangu tatizo ni kabila mahala makao makuu ya nchi yalikoanzia, hivi wewe ulishawahi kuona mzaramo na jamii zake wanapigana adharani hata umtukane vipi, waliowengi ni mdomo tuu, katika nchi zote vuguvugu la kudai haki, maendeleo uanzia miji mikuu ya nchi, lkn hao wenzetu toka awali akipata dagaa nchele kalidhika na mambo ya siasa anaona hayamhusu na ndio maana utaona jamii hizo ni maskini wa kutupwa kuliko wakuja ambao ni wageni katika mji wao.
 
Nyerere aligoma kubadili Katiba ya Mkoloni baadae akajitungia ya kukonsolidate power yake harafu unataka CCM wabadili Katiba iwanufaishe Wapinzani, thubutu
Sio tu kuwanufaisha wapinzani, katiba inatakiwa iruhusu independent thinking ya raia wake. Maoni ya raia yaheshimiwe sio kuwapangia raia kila kitu kama robots halafu mnaita watu wajinga.
 
Alipambana kuufuta Ujinga au yeye ndiyo chanzo chake?
Alipambana Kwa kupiga soga mdomoni? Mwalimu wenu ndio amesababisha hii Nchi Ina watu mizigo walalamishi wategemezi walaumuji Serikali na wapenda sog maana alikuwa anaongea saaaana vitu havieleweki badala ya kupiga kazi.

Wazee wa kazi kina Sokoine waliishia wapi? 😁😁
 
Sio tu kuwanufaisha wapinzani, katiba inatakiwa iruhusu independent thinking ya raia wake. Maoni ya raia yaheshimiwe sio kuwapangia raia kila kitu kama robots halafu mnaita watu wajinga.
Ndio maana napinga siku zote Kuandika Katiba Kwa msukumo wa kiasia maana haitakuwa na maslahi Kwa wasio Wanasiasa.
 
Tatizo sio Nyerere, kwa mtazamo wangu tatizo ni kabila mahala makao makuu ya nchi yalikoanzia, hivi wewe ulishawahi kuona mzaramo na jamii zake wanapigana adharani hata umtukane vipi, waliowengi ni mdomo tuu, katika nchi zote vuguvugu la kudai haki, maendeleo uanzia miji mikuu ya nchi, lkn hao wenzetu toka awali akipata dagaa nchele kalidhika na mambo ya siasa anaona hayamhusu na ndio maana utaona jamii hizo ni maskini wa kutupwa kuliko wakuja ambao ni wageni katika mji wao.
Hilo sio tatizo, ni utamaduni wao. Kulikuwa na jamii ambazo zilitaka ku rise na kum challenge Nyerere hasa wakina Mangi ambao walitaka nchi igawiwe kwa majimbo. Ofcourse walienda mbali na kutaka Kilimanjaro iwe kama sehemu ya nchi inayojitegemea. Those guys walikuwa mbele ya muda.

What happened next?
 
Nyerere hakuelekeza kiswahili kitumike mashuleni alielekeza iwe lugha ya taifa. Ila English ni lugha ya kitaaluma na imekuwa hivyo miaka yote.

Ni miaka hii ndio hawa viongozi wa sasa wameanza kusema kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia.

Nyerere hakuwahi kusema kiswahili kiwe lugha ya kufundishia kitaaluma, wapi alisema hayo maagizo mzee?

Sasa kwa nyakati zile angesema watu wanaotakiwa kuwa wabunge waanzie degree, nani angepita mzee?😂😂😂 Hilo bunge si lingekuwa na watu kumi tu sababu ya wasomi kuwa wachache na hata waliosoma kutia nia ilikuwa mziki.

MIaka ile kwanza watu walikuwa wanaogopa uongozi kama kitu gani sijui hawakuwa na shobo hata kidogo. Mtu kuwa kiongozi ni hadi watu wamfosi ndio anaenda. Sio kama siku hizi watu wanahonga ili wawe wabunge.

Tu
Kwa fact tu!
Nakuelewa sana father.
 
Alikuwa anakwepa kutoa Elimu Ili asikosolewe Bali atukuzwe na mbumbumbu aliowatengeneza.

Yaani aliona ni Bora kutumia Rasilimali za Nchi na Watoto wa Tanganyika/Tanzania wakafie Angola,Mozambique,South Africa,Namibia,West Africa , Uganda, Zimbabwe nk nk Bure Bure kabisa ila asiwape Elimu.

Wajinga WA kipindi hicho ndio watamsifia.

The fact that unafikiri hao maraisi waliofuata ambao umeamua kushabikia wamekuwa na positive impact zaidi kuliko Mwalimu Nyerere....wow... unbelievable...

Alifanya alichofanya in the spirit of Pan-Africanism. Mwalimu Nyerere kusaidia majirani zetu kupata uhuru imetupa sisi Tanzania global cachet ambayo mpaka leo na shida zote ambazo bado tunazo inatusaidia sana kidiplomasia -- tunaheshimika na nchi nyingi ndani na nje ya Afrika kama watu waliokuwa na utu na principles and conviction.

Sio sisi tu mnaosema tunalialia hapa JF, hata huko nje kuna watu kwenye sekta za siasa, uwekezaji, diplomasia, ambao hawaelewi Tanzania inaenda wapi na ni very common kusikia mtu anasema, what happened to Mwalimu Nyerere's Tanzania ?

Mwalimu Nyerere ndiyo kuna miscalculations alizofanya but as a statesman he was absolutely brilliant -- mtake msitake -- kiongozi mwenye nguvu ni ambaye anaheshimika ndani na nje ya nchi. Wakati wa Cold War, Mwalimu Nyerere, hata na sera zake za kijamaa alikuwa anaheshimika na pande zote -- do you understand how rare that was ? Alipata heshima hizo kwasababu alikuwa highly skilled -- hata ambao walikuwa hawakubaliani na misimamo yake walimpa credit kwasababu hakuwa jizi na mkatili kama viongozi wengi wanaosumbua Afrika sasa hivi (na hata back then tbh e.g. Mobutu Sese Seko, Jean-Bédel Bokassa, Idi Amin) -- hata kama kuna sera zilizoumiza watanzania -- alikuwa anaziamini -- sio kuwa alikuwa anaharibu nchi maksudi kwa sababu ya maslahi yake binafsi.

Mimi nimekwepa sana watu flani JF, labda nipange siku nijibizane nao, ni wasumbufu sana, wanapenda kukwepa hoja na kunyanyasa wenzao, na kuandika uongo ambao wanaona utafurahisha wanamtandao.
 
Kwa Africa sidhani kama kuna Taifa Lina Manyumbu zaidi ya Tanzania
Na idadi inazidi kuongezeka kila mwaka

Screenshot_20250811-055428.png
 
Nyerere mwenyewe alikuwa ndo walewale , Tazama watoto wake , tazama katiba ya nchi .n.k

Ujinga umeletwa na TANU na ccm
 
Back
Top Bottom