Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

Nawewe hata kuna mambo mengi huyajui kupitia hii comment
Nyerere lazima alaumiwe kwa sababy mpaka leo tunatumia katiba yake na mfumo mzima wa uongozi ni yeye ndo aliyeuasisi kwa lazima alaumiwe
Mkuu lawama kwa marehemu zitasaidia nini?

Tumeshaelewa tatizo bado tumelikumbatia sisi na marehemu nani marehemu ?
 
kweli kabisa kwani yeye ndiye wa kwanza kukataa vyama vingi na kuleta udikteta wa chama kimoja, failed theories of villagisation, nationalisation and party supremacy. Na hata kipindi cha watu kuanza kuamka alikuwa akisema TV na friji ni luxuries ambazo watanzania hawahitaji (lakini yeye alikuwa na satellite dishes mbili kwake ikulu)
Tukisha mtupia lawama hayati enhee what next??

Mkuu lawama kwa marehemu zitasaidia nini?

Tumeshaelewa tatizo bado tumelikumbatia sisi na marehemu nani marehemu ?
 
Angalia mtu kama mzee Wasiri unadhani Nyerere alitumia misasa mingapi na bado imedunda.
 
Kwa Africa sidhani kama kuna Taifa Lina Manyumbu zaidi ya Tanzania
Wafuasi wa kile chama chetu pendwa (manyumbu) wapo wengi zaidi Tanzania kwa sababu chama chenyewe kiko Tanzania tu. Wapo wachache diaspora, lakini siyo wengi kama hapa kunyumba 🤣
 
Tatizo umesoma thread hii kisiasa zaidi(upendeleo) ndiyo maana umekuja na hoja hii.

Nitakupa mfano ninapo sema ujinga ni Kwa upana sana MFANO hivi sasa Watanzania wengi wamekuwa wachafu sana hawasafishi mazingira wanatupa taka hovyo hovyo, wanasubiri mpaka Mh Rais au kiongozi mkali ndio wafanye hata kusafisha majumba yao wenyewe.

Watanzania sio wazalendo, hawajitumi uvivu, umbea umbea n.k huo ni ujinga.
Wewe ni mzalendo? Au Uzalendo wako ni kuja na kuwasimanga watanzania wenzako? Watu wajinga kama wewe ni rahisi mno kusaliti nchi zenu. Uzi wako unaashiria wewe ni kibaraka.
 
Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.

Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.

Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Mbaya zaidi ni kwamba watu wanaendelea kuwa wajinga zaidi.
 
Uliwahi kuona wapi Nyerere amewekeza kwenye Elimu zaidi ya zile zile za wakoloni?

Aliona ni Bora kutumia pesa za Nchi kwenda kuanzisha vita ya Idd Amin kumsaidia Jamaa yake Obote.

Aliona Bora msalie wajinga ila atymie pesa za Umma ma Rasilimali watu nk kusambaza wanajeshi nk kupigana kwenye Nchi zingine.

Kimsingi hana lolote la maana Aliwahi fanya kwenye mambo ya Maendeleo zaidi ya kukandamiza Wapinzani wake na kuwapoteza.
Acheni ujinga
Waulize waliosoma enzi zile za 60 na sabini. Elimu bure std one hadi PhD!! Usibishe kama wewe ni GenZ.
Wakoloni hawakujenga chuo kikuu. Ni JKN alijenga
 
Matumizi ya Kiswahili mashuleni. Lugha ambayo Aina ushindani kwenye soko la Ajira .


Kusaini Sheria inayomtaka mbunge kujua kusoma na kuandika Tu Kama sifa ya kuwa mbunge
Nyerere hakuelekeza kiswahili kitumike mashuleni alielekeza iwe lugha ya taifa. Ila English ni lugha ya kitaaluma na imekuwa hivyo miaka yote.

Ni miaka hii ndio hawa viongozi wa sasa wameanza kusema kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia.

Nyerere hakuwahi kusema kiswahili kiwe lugha ya kufundishia kitaaluma, wapi alisema hayo maagizo mzee?

Sasa kwa nyakati zile angesema watu wanaotakiwa kuwa wabunge waanzie degree, nani angepita mzee?😂😂😂 Hilo bunge si lingekuwa na watu kumi tu sababu ya wasomi kuwa wachache na hata waliosoma kutia nia ilikuwa mziki.

MIaka ile kwanza watu walikuwa wanaogopa uongozi kama kitu gani sijui hawakuwa na shobo hata kidogo. Mtu kuwa kiongozi ni hadi watu wamfosi ndio anaenda. Sio kama siku hizi watu wanahonga ili wawe wabunge.
Matumizi ya Kiswahili mashuleni. Lugha ambayo Aina ushindani kwenye soko la Ajira .


Kusaini Sheria inayomtaka mbunge kujua kusoma na kuandika Tu Kama sifa ya kuwa mbunge
Tu
 
Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.

Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.

Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Nimependa neno nasadiki
 
Acheni ujinga
Waulize waliosoma enzi zile za 60 na sabini. Elimu bure std one hadi PhD!! Usibishe kama wewe ni GenZ.
Wakoloni hawakujenga chuo kikuu. Ni JKN alijenga
Toa ujinga hapa,Elimu ya pyramid kama ya Mkoloni ndio unasema?

Wilaya nzima Ina sekondari Moja Hadi miaka ya JK ndio zinajengwa harafu unaleta nonsense zako hapa.
 
Hakika Mkuu hakuna ubishi juu ya hili.
Wanamkosea heshima huyu Mzee wa taifa,
Kawawa
Sokoine.
Kang'atuka mwenyewe awaachie wengine nchi bado lawama.
Kuna mahali tuwape heshima yao wazee hawa.
 
Experiments za ujamaa za huyo huyo Nyerere ndio ziliwaponza mkawa hivyo, na itachukua miongo kadhaa kuja kuendana na dunia ya kisasa.
 
Experiments za ujamaa za huyo huyo Nyerere ndio ziliwaponza mkawa hivyo, na itachukua miongo kadhaa kuja kuendana na dunia ya kisasa.
 
Acheni ujinga
Waulize waliosoma enzi zile za 60 na sabini. Elimu bure std one hadi PhD!! Usibishe kama wewe ni GenZ.
Wakoloni hawakujenga chuo kikuu. Ni JKN alijenga
Shule za sekondari zimeanza Kujengwa miaka ya Mkapa,JK, Mwendazake na Samia.

Miaka zaidi ya 35(25) ya Nyerere hakuna Cha maana anafanya zaidi y kuua Watoto wa watu kwenye mabita yasiyo na Msaada Kwa Nchi.

Kiufupi hakuwa na akili ndio maana mlikuwa mnamtukuza na alitaka muwe mbumbumbu Ili awatawale vizuri.
 
Mjinga mwingine kwenye moja na mbili.
Miaka 25 hakuna shule alijenga zaidi ya Wakoloni.

Mtu wa hivyo alikuwa na Msaada gani Kwa Nchi? Harafu mliojazwa ujinga mnamtukuza.

Kutwa kucha ni propaganda za kumsifu 🤣🤣
 
Experiments za ujamaa za huyo huyo Nyerere ndio ziliwaponza mkawa hivyo, na itachukua miongo kadhaa kuja kuendana na dunia ya kisasa.
Alikuwa anakwepa kutoa Elimu Ili asikosolewe Bali atukuzwe na mbumbumbu aliowatengeneza.

Yaani aliona ni Bora kutumia Rasilimali za Nchi na Watoto wa Tanganyika/Tanzania wakafie Angola,Mozambique,South Africa,Namibia,West Africa , Uganda, Zimbabwe nk nk Bure Bure kabisa ila asiwape Elimu.

Wajinga WA kipindi hicho ndio watamsifia.
 
Back
Top Bottom