Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Bali wakirudi katika Dini ndio watapata ushindi. Hata hawa Hamas pia bado hawajasimama sawa kidini. Nje ya Dini (Uislam wa Sawa kama alivyokuja nao Mtume Swala na Salamu ziwe juu yake na wakaufuata Maswahaba zake Radhi za Allah ziwe juu yao) wapalestina hawatowashinda mayahudi na kukaa kwa utulivu pale.Wapalestina warejee kwenye Usecular katika kudai Haki zao, watapata Support.
Dini inawazuia kufikiri.
πππππNa waTz walivyowaoga hao watakuwa wanatetemeka mpaka nywele.
NapitaKamaRadi
π€£π€£π€£π€£ classmates wameenda kusilimu kwanza si umeona hata majina yaoDahhhh...π₯
Classmates, saitakuaje...πͺ
Command moja ya sangasanga lazima wazee wa majamvia wakimbie kawaulize M23JWTZ wanakaa ardhini halafu IDF anatoa Air Support lazima Hamas wakubali.
Tayari wameshadhurika kwa kutekwaSidhani kama watadhuriwa na Hamas...
Wasiwasi ninaouona ni kushambuliwa na mabomu ya Israel wakiwa wanaendelea na oparesheni zao za kuipiga Gaza...
Tuwaombee tu kwa Mungu awalinde...
Na walaaniwe na Allah hawa mayahudi mazayuni waliolaaniwa, maadui wa Allah na maadui wa Mitume. Ambao wanaua wanawake na watoto na watu wanyonge kabisa. Bali kwao kuua wanawake na watoto ni jambo dogo ukizingatia wazee wao waliwaua baadhi ya Mitume wa Allah na walijaribu kuwaua baadhi ya Mitume wengine (Amani iwe juu yao Mitume). Na hawa vizazi vyao ni waovu zaidi kwa sababu wengi wao hawa wa sasa wanakanusha hata uwepo wa Allah. Allah awaharakishie adhabu yao kama alivyowaahidi kuwaletea adhabu kila wanaporudi katika ufisadi na uharibifu.Walaaniwe magaidi hawa wanaovizia raia.
Mafundisho ya Qurani yanasema haitosimama kiama hadi kuwauwa Wayahudi je wewe unaona mafundisho hayo yako sawa?Bali wakirudi katika Dini ndio watapata ushindi. Hata hawa Hamas pia bado hawajasimama sawa kidini. Nje ya Dini (Uislam wa Sawa kama alivyokuja nao Mtume Swala na Salamu ziwe juu yake na wakaufuata Maswahaba zake Radhi za Allah ziwe juu yao) wapalestina hawatowashinda mayahudi na kukaa kwa utulivu pale.
Walipokuwa wanapigania haki zao katika mavuguvugu ya kisekula waliikomboa Al-Aqsa? Hawatopata ushindi wapalestina muda wa kuwa wanapigania haki zao kwa kutumia usekula au uarabu.
Kbisa Tanzania Ipelek JWTZ Israel waigeJWTZ wanakaa ardhini halafu IDF anatoa Air Support lazima Hamas wakubali.
Pole sanaKuna watanzania walikuwa wanawashangilia Hamas wengine wakataka Hadi tuandamane Sasa wamejionea
Pole sanaHamas ni Magaidi ya Kijihadi yenye lengo la kuua Wayahudi wote Duniani.
Na kuruani inasema hivyo.
Wapalestina warejee kwenye Usecular katika kudai Haki zao, watapata Support.
Dini inawazuia kufikiri.
Tulia wewe keyboard warriorBora ungekaa kimya kuficha upumbavu!
Pole sanaWalaaniwe magaidi hawa wanaovizia raia.
Haroub Kiarabu maanake ni Vita Hoja yako ni nini?Pole sana
Pole sanaTayari wameshadhurika kwa kutekwa
Wameshsumizwa hidia na waweza kuwa hata wamepata ugonjwa wa moyo
Hamas wanawatumia kama Human Shield i
Sasa watanzania wenzetu wale washabikia Hamas waone hilo.kunfi.lilivyo ovu wanatutekea hata watu wetu
ππππSidhani kama watadhuriwa na Hamas...
Wasiwasi ninaouona ni kushambuliwa na mabomu ya Israel wakiwa wanaendelea na oparesheni zao za kuipiga Gaza...
Tuwaombee tu kwa Mungu awalinde...
Hawa hawa......Hapa JWTZ inabidi iingilie kati, zile ndege zetu ambazo huwa hazionekani na radar siku za sherehe za kitaifa inabidi zikahusike.