Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Huyo Allah atakua katili sana. Amewatuma HAMAS wakaue waisrael na wengine kuchukuliwa mateka halafu wakishushiwa kipondo wanaona wanaonewa.
Dogo vita haina macho, hao magaidi ni wapelestina na siku zote ukishirikiana na mwizi nao ni mwizi.
Mchuma janga hula na wa kwao.
 
Ningekubaliana na wewe endapo wasingeua watu hao magaidi wa kiislamu wa HAMAS
Sasa kama hakuna shida kwanini wamechukuliwa mateka?

Nimeandika hivyo kwa sababu

1. Watanzania sio Wayahudi...
2. Kuna Wayahudi waliotekwa na wangali hai...
 
Serikali ya Israel pamoja na ubalozi wa Tanzania nchini Israel vimethibitisha kuwa miongoni mwa mamia ya watu waliochukuliwa mateka na magaidi ya kipalestina (HAMAS) wakati wa shambulio baya la kigaidi huko kusini mwa Israel, wapo watanzania wenzetu wawili na raia mmoja wa Afrika Kusini.

Sio mara ya kwanza hawa watu wanatuchoma kisu mgongoni licha ya kuwaunga mkono kwa miaka mingi katika harakati zao za kutaka uhuru na hata kuwaruhusu kufungua ubalozi wao hapa kwetu.

Katika vita ya Kagera hawa mabwana walikwenda kipigana upande wa Nduli.

Kuna sababu ya kwanini hata mataifa ya Kiarabu kama Misri hawataki wakimbizi wa kipalestina, hawa jamaa wamejaa ugaidi ugaidi mno. Serikali ya Egypt ililazimika hadi kupiga marufuku chama cha Muslim Brotherhood kwakuwa kilikuwa na mafungamano na kundi la Hamas na mwenendo wa siasa kali za kigaidi.

Tanzania tuwatake hawa wapalestina wawaachie watu wetu mara moja, kinyume chake tuwatimue hapa kwetu na kufuta kabisa mahusiano nao.

 
Hujui kitu
 
Ndio maana hawa watu mm sina hata chembe ya huruma nao. Kuanzia ya kagera, ya kuchokoza waisrael afu watafute huruma. La mwisho tu israel waendelee kuwapelekea moto kisawa sawa
 
Ngoja wapalestina wa buza waruke na wewe
 
Kabisa hawana sababu ya kuwashikilia watanzania, tumwite balozi wa palestina tumtake awaachie maramoja
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inazo taarifa za kupotea kwa Watanzania wawili nchini Israel ambao ni miongoni mwa vijana 260 waliopo nchini humo kwa mafunzo ya kilimo cha kisasa.

Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka mbalimbali nchini Israel inaendelea na juhudi za kuwapata vijana hao ili kuwaleta katika mazingira salama. Familia za vijana hao zimejulishwa kuhusu jitihada hizo na Serikali inaendelea kuwasiliana nao.

Watanzania 9 wanaoishi nchini Israel waliitikia wito wa mpango wa Serikali wa kuwarejesha nyumbani na walipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tarehe 18 Oktoba 2023.
 
Kuna huyu kijana joshua mollel tangu vita vianze hajulikani aliko
 
Kabisa hawana sababu ya kuwashikilia watanzania, tumwite balozi wa palestina tumtake awaachie maramoja
Balozi wa Palestine hapa Tz sio mwakilishi wa Hamas.
 
Hao watanzania hawana uhusiano na ccm kweli? Wachunguzwe vizuri.
 
Tunaomba Hamas muwaachie vijana wetu bila kuwadhuru. Bakini na walengwa wa ugaidi wenu.

Balozi amesema walikuwa na ishu gani huko karibu na makazi ya Hamas (maeneo karibu na mpaka wa gaza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…