Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Tunaomba Hamas muwaachie vijana wetu bila kuwadhuru. Bakini na walengwa wa ugaidi wenu.

Balozi amesema walikuwa na ishu gani huko karibu na makazi ya Hamas (maeneo karibu na mpaka wa gaza)
Sio majususi wa Isreal lkn? Kama hana hatia wataachiwa maana muislam mkorofi pale tu ukiichezea dini yake
 
Israel hamna lolote wewe kwa bato la chini,acha kuichukulia poa jwtz,hai idf mpaka Leo wanaogopa kuingia Gaza wanabomoa majumba tu kwa ndege,kila wakitia pua wananyolewa
Wewe unafahamu urban warfare au unaongea tu kwa kuwa una ulevi wa dini.
 
Tayari wameshadhurika kwa kutekwa
Wameshsumizwa hidia na waweza kuwa hata wamepata ugonjwa wa moyo

Hamas wanawatumia kama Human Shield i

Sasa watanzania wenzetu wale washabikia Hamas waone hilo.kunfi.lilivyo ovu wanatutekea hata watu wetu
Na ndio maana hadi Sasa IDF bado wanawaza wanaingiaje Gaza na kuokoa mateka bila kuwadhuru maana majamaa ya Hamas yamejificha nyuma ya wanawake na watoto
 
Hamas si waliahidi kuwa watakuwa wanachinja Kila mateka na kurusha video hewani Hadi Israel aache kurusha makombora ghaza!!!


Vipi hali huko ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Vita ni piga nikupige

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wale raia wa Israel waliouawa na Hamas Wana hatia gani?
 
Two Tanzanians and a South African are among the 224 hostages being held by Hamas after the 7 October attacks in Israel, the Israeli government says.
Basi hapo wakenya wanatuonea donge wanatamani nao wangetekwa na mabroo wa hamas
 
Wewe unafahamu urban warfare au unaongea tu kwa kuwa una ulevi wa dini.
Kwa hiyo ikiwa urban warfare..ndiyo Israel anakua Bora!?.. urban warfare unapiga risasi watu Wana makombeo na manati!
 
Huko nako wabongo wapo wanasebenza na life,wabongo
Wako kila sehemu duniani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…