Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwani mashtaka yameisha?Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
mungu MUKU anasemaje kwani?Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Hii ya vimada kwa viongozi wa afrika ndio chanzo cha ufisadi na urafiWatamuachiaje wakati anatishia tumbo lao,si unajua waafrika bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Mambo ya domokrasia wapi na wapi.
Mtu ana vimada 20 atakubali vipi atolewe nje ya mfumo.
Hao vimada atawauhudumia nani.
Kwani sasa hivi demokrasia ipo? Watu hawalimi?Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Kuhusu 2030 wajinga wajinga wengi watakuwa wameshakufaUnabii wa walevi ni halucination tu
Mnaomba au mnaamuru!! Shetani haombwi bali anaamrishwa.
Unachanganya kutofautisha Nchi ni nini na Serikali ni nini? Serikali ni Taasisi ndani ya Nchi, unaelewa au wewe unavyojua na ulivyofundishwa kwamba Serikali ndio Nchi? Nani alikufundisha hivyo? Serikali ni kijitaasisi kimoja ndani ya Nchi, Nchi ina taasisi zingine zinazoifanya Nchi iwe Nchi bila hizo hakuna Nchi
Rudia kusoma mstari wako wa mwisho hivi ni Serikali ya Kidemokrasia au ni Nchi ya Kidemokrasia?Sawa
🤓
Serikali ni taasisi hilo tulishasema ndio lakini katika kuendesha nchi mihimili mitatu yaani taasisi ndogo tatu kama mihimili katika Separation of powers.
Na hapa tunazungumzia Siasa.
Kabla ya demokrasia hakukuwa serikali zenye Muhimili mitatu lakini nchi zilikuwepo
Uchawi wa mwanamke ni hatari sana. Bora mwanaume mchawi.Maridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Kama zilivyo Order za MahakamaMnaomba au mnaamuru!! Shetani haombwi bali anaamrishwa.
Rudia kusoma mstari wako wa mwisho hivi ni Serikali ya Kidemokrasia au ni Nchi ya Kidemokrasia?
Ndio unataka kusema wale waliosema "Usimuache Mwanamke Mchawi aishi" hawakukosea kusema?Uchawi wa mwanamke ni hatari sana. Bora mwanaume mchawi.
Mkuu nakuomba twende polepole km polepole wala usiwe na haraka naomba definition ya 'Democratic Countries' kwa uelewa wako mkubwa sitaki uutumie uelewa mdogo maana uelewa mdogo utaleta fujo hapa tumia uelewa wako mkubwa niambie nini maana ya 'Democratic Countries' na usichanganye na Democratic Government au tuseme tu Good Governance, usiyachanganye hayo niambie tu kuhusu Democratic Countries unaelewa ni nini kwako kwa unavyoelewa weweSerikali ya kidemokrasia ndio kiswahili fasaha.
Ila kisiasa mtu anaposema nchi ya kidemokrasia analenga kusema serikali ya kidemokrasia.
Nafikiri hata kwenye types za government ulisome kitu kama hicho.
Hoja yako ya kusema nchi ina Mihimili mitatu ndio potofu kwa sababu nchi haina hiyo mihimili. Bali serikali za kidemokrasia.
Unajua dhana ya separation of powers?
Huyo Lissu hana adabu hata kidogo!! Anyongwe tu!!yaani ukiuke sheria kwa makusudi kabisa, utembee kila wilaya nchini nzima kuropoka na kuhubiri chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania kinyume cha sheria za usalama wa taifa, kisha mtu aje hapa ati ng'we ng'we ng'we aachiwe?
weee! gentleman, kua na heshima kidogo tafadhali.
kumuachia mtuhumiwa wa uhaini kama huyo mropokaji inaweza kua kosa kubwa zaidi ya uhaini wenyewe.
Lazima ashike adabu kwa mujibu wa sheria za nchi bila huruma 🐒
Kumbe anyongwa sababu ya Adabu?Huyo Lissu hana adabu hata kidogo!! Anyongwe tu!!
Haswaa. Kutoka 22:18.Ndio unataka kusema wale waliosema "Usimuache Mwanamke Mchawi aishi" hawakukosea kusema?
We hauna akili.Kumbe anyongwa sababu ya Adabu?
HeheheheWe hauna akili.
Kwa hio sasa mnataka kusemaje Kutoka 22:18 mnamfanyaje mnamuacha au mnamkaanga?Haswaa. Kutoka 22:18.
Mkuu nakuomba twende polepole km polepole wala usiwe na haraka naomba definition ya 'Democratic Countries' kwa uelewa wako mkubwa sitaki uutumie uelewa mdogo maana uelewa mdogo utaleta fujo hapa tumia uelewa wako mkubwa niambie nini maana ya 'Democratic Countries' na usichanganye na Democratic Government au tuseme tu Good Governance, usiyachanganye hayo niambie tu kuhusu Democratic Countries unaelewa ni nini kwako kwa unavyoelewa wewe