Soma tena nilichomaanisha mkuu wewe ulitaka nikwambie nini? Nikwambie unavyotaka nikwambie unavyopenda kuambiwa? Haya kafungue kesi ya Uhaini basi stupid mfckerMkuu kama umheshimu Rais na kumuita Majina kama hayo ya dhihaka unategemea kweli akusilikize.
Hata kama Rais ni muovu isikupe wewe uhalali wa kufanya uovu na kujikosea. Hiyo inahalalisha uovu wake
Kamuulize mwenyewe aliejiita hivyo atakwambia kwamba yeye ndiye who else?😂😂
Mkuu kwenye lugha hasa ya maandishi siwezi kukurupuka.
Ukiambia umtaje chura bonge kiziwi unamrejelea nani?
Serikali haiingilii mahakama acha riwaya zako ktk mambo ya msingiHamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema. Na hiki kisihesabike kama kitisho bali ni taarifa tuu ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi.
Ahsanteni sana.
Awamu yake ya pili nchi itapigwa miti balaa, siumeona mafisadi yalivyochangia chama jana...hakunaga vya bure mjn!Na maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Kamuulize mwenyewe aliejiita hivyo atakwambia kwamba yeye ndiye who else?
Mpumbavu yule hana adabuMaridhiano yamemponza,alimtembelea lissu hospital Nairobi,alikutana nae ughaibuni, akaleta maridhiano,lakini rejea kauli za kifedhuli za lissu dhidi ya maza.. yaani maza amuache humo korokoroni asitike mpaka 2031
Yaani ndio mnafikiri atarudi nyuma, poleni sana.Acha anyooshwe yule aso adabu
Serikali haiingilii mahakama acha riwaya zako ktk mambo ya msingi
Wasife ila wawe mahouse boy na mahousegirl!Mungu naomba umnusuru Lissu ainuke na alikomboe taifa dhidi ya majambazi, machawa na vibaraka zao. Ee Mungu naomba utende muujiza Majambazi, vibaraka zao na machawa wao waangamie na wasitoboe mwaka huu Amen.
Yes, Chura Bonge Kiziwi kamfunga Tundu Lissu ili ashinde uchaguzi bila pingamizi nani katenda wema hapo?Sawasawa.
Ila ukitaka Wema utende huo wema kwanza. Hiyo ni Kanuni
Yes, Chura Bonge Kiziwi kamfunga Tundu Lissu ili ashinde uchaguzi bila pingamizi nani katenda wema hapo?
Alienda kukariri hata kuelewa,haelewiShule yako ya Kukariri hujui Mahakama ni sehemu ya serikali. Shule mlienda kusomea ujinga.
Alienda kukariri hata kuelewa,haelewiShule yako ya Kukariri hujui Mahakama ni sehemu ya serikali. Shule mlienda kusomea ujinga.
Alienda kukariri hata kuelewa,haelewi
Sisi hatutaki arudi nyuma,avundikwe tu jela akitoka ngozi laini kama bi harusi wa kinyaturuYaani ndio mnafikiri atarudi nyuma, poleni sana.
Mahakama sio Serikali na Serikali sio Mahakama, wewe ulisoma Uraia (Civics) kweli wewe? Nani aliekwambia kwamba Serikali ni Mahakama na Mahakama ni Serikali? Hio ni mihimiri miwili tofauti ila kwa Nchi inayoongozwa na Chura Binti Kiziwi Mahakama ipo ndani Mfuko wa Jeans ya SerikaliShule yako ya Kukariri hujui Mahakama ni sehemu ya serikali. Shule mlienda kusomea ujinga.
Mahakama sio Serikali na Serikali sio Mahakama, wewe ulisoma Uraia (Civics) kweli wewe? Nani aliekwambia kwamba Serikali ni Mahakama na Mahakama ni Serikali? Hio ni mihimiri miwili tofauti ila kwa Nchi inayoongozwa na Chura Binti Kiziwi Mahakama ipo ndani Mfuko wa Jeans ya Serikali
Namnukuu Rost Tamu Aziz aliwahi kusema ikipigwa simu moja tu Jaji anaua kesi, unaelewa maana ya simu moja?
Una uhakika ataimaliza 5? Make tabiri nyingi zinasema hatoboiNa maza ikimpendeza awamu yake ya pili awe kama magu,hakuna demokrasia, hakuna mikutano ya kisiasa,watu wakalime
Anayeharibu amani ya Taifa Mama Tanganyika ni yule anayeuza rasilimali za nchi kama Mali yake binafsi kwa waarabu, wasomali, wachina na wazungu.Hakuna jambo baya kama kuharibu amani ya nchi