Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
ThibitishaWatoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.
Point ni kwamba, Hakuna Mungu yeyote anayeleta watoto duniani.Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
Nithibitishe nini?Thibitisha
Mungu ni nani?Point ni kwamba, Hakuna Mungu yeyote anayeleta watoto duniani.
MUNGU ni masuala ya kiimani, kumfuta sharti ufute kwanza hizo imani otherwise ni porojo.Point ni kwamba, Hakuna Mungu yeyote anayeleta watoto duniani.
Utajisumbua even his ID reveal the truth.Nithibitishe nini?
Kwanini mke wa mchungaji hapati mimba? ila wengine wanapata!Nithibitishe nini?
Fictional character.Mungu ni nani?
Ndiyo nini?Fictional character.
Ni asilimia 2% tu ya watu duniani hawawezi kupata mtoto kabisa.Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.
Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
Kama ni matokeo ya ngono kwani mke wa mchungaji hafanyi?Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.