Wa kiume wanavaa viatu bila Soksi! Tunakoelekea hata watoto wa kike hawata vaa tena chupi wanavaa zile chupi za tandabui kama barakoaNashangaa sana.kama mdau wa elimu nasikitika.Tena nawaona hawa wa hizi shule za kata.sijajua hivi huwa walimu wa nidham siku hiz hakuna au? Kwanza wanashona vinjiwa na vichupa anavaa vimoka hana soks.yaan elimu na nidhamu ni mate na ulimi.usipokuw na nidham jua tu utaishia kusindikiza wenzio.
Wazazi wanaweza kudanganywa ndo sare ya shule kaambiwa na shule iwe hivyo, dawa na huko huko shuleHii ndio point, tatizo wazazi wengine hua wanawaacha watoto wao wachague kuishi wanavyotaka wao sio wanavyotaka wazazi, shida ndio inaanzia hapo
Na bado vijembe vingine vitakuja mbona nyie ndo mlisimamia jukumu zima la kupeleka mende bungeni ona sasa wanacho wafanyiaNaomba Walimu mtuache kama tulivyo.Tumechoka sasa!
Mamlaka zilipotupiga 'dash' kwenye mishahara na stahiki nyingine,kwa miaka mingi,si raia walifurahi?
Kwenye mitandao wakati wa sensa tulifanyiwa kila aina ya kejeli,mkafikia hatua ya kusema bora kuwa Mwendesha bodaboda kuliko kuwa Mwalimu.
Kuna uongo pia hapaNashangaa sana.kama mdau wa elimu nasikitika.Tena nawaona hawa wa hizi shule za kata.sijajua hivi huwa walimu wa nidham siku hiz hakuna au? Kwanza wanashona vinjiwa na vichupa anavaa vimoka hana soks.yaan elimu na nidhamu ni mate na ulimi.usipokuw na nidham jua tu utaishia kusindikiza wenzio.
Hao wote mnawaonea jukumu la kwanza la maadili ni la mzazi nyumbani, siku hzi tunadhani mtu mwingine atasaidia kurekebisha mwanao wewe ukiendelea na ubusy. hao wa5 kati ya 100 imekuwaje wamechomekea? Malezi malezi malezi. hakuna atakayekufundishia adabu mwanao zaidi yako ww mzazi ulomzaaaYanatokea hayo MAWAZIRI ELIMU MPO, WAZIRI TAMISEMI UPO, Wakurugenzi mpo, maafisa elimu mpo, wakuu wa shule mpo, walimu mpo MNAANGALIA
Kuweka usawa kwa wanafunzi wote ili kuondoa inferiorityKwanza kwanini wavae uniform?? Tuanzie hapo
UPI huoKuna uongo pia hapa
Bado sijaona utovu wa nidhamu hapo... [emoji848]kwamba kuchomekea ndio unanidhamu zaidi? Mbona kuna watu maofisini wanachomekea na kuvaa tai kabisa ila ndio wala rushwa namba 1, wahujumu uchumi na watumizi wa mali za umma kwa faida zao binafsi..Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali wanazovaa nyingi ni njiwa (yaani hazifuniki kiwiko) Mashati yao ya shule mengi ni madogo hayafiki kiunoni (Vitopu) Wengine hawana hata vibebeo (mabegi) wanabeba daftali kitozi mkononi Haya yote yanatia sana mashaka tunaandaa wasomi gani
Je, hii style ya uvaaji tunaandaa watumishi wenye sifa gani huko baadae?
Je, nani anastahili hizo lawama? Wizara, wazazi au walimu?
Au tusubiri watumishi wasio na nidhamu baadae ndipo tuwakanye!?
Kwahyo na mtaani tuanze kuvaa uniform ili tuwe sawa?Usawa wa kiakili na kifikra inawajengea Umoja wawapo shuleni,
Ni ujinga tu. Au ndio yadumu mawazo ya muingerezaMuingereza bana tuliiga kila kitu chake. Makoloni yote ya Muingereza na yeye mwenyewe yaani common wealth countries wanavaa uniform nje ya hapo ulaya iliyobaki na marekani hawavai uniform na Muingereza akisema kiatu cheusi anamaanisha cheusi sasa uende sijui na kijivu kilichoiva anakurudisha nyumbani
Kwahiyo unashauri wavae hata bikini poa tu si ndiyo, watie na vikuku miguuni safi , wavae hadi shanga na cheni poa tu au siyo?Bado sijaona utovu wa nidhamu hapo... [emoji848]kwamba kuchomekea ndio unanidhamu zaidi? Mbona kuna watu maofisini wanachomekea na kuvaa tai kabisa ila ndio wala rushwa namba 1, wahujumu uchumi na watumizi wa mali za umma kwa faida zao binafsi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumeza wewe ni ACT, CDM au CCM?Kwahyo na mtaani tuanze kuvaa uniform ili tuwe sawa?
Nguo ndio zinaleta umoja?
Basi na uraiani tuvae uniform ili kuondoa inferiority.Kuweka usawa kwa wanafunzi wote ili kuondoa inferiority
Kwa hyo kujiajiri ndio usichomekee vzr na kuwa nadhifuWanaandaliwa ili waje kujiajiri asa wachomekee ili iwaje?
Kuvaa bikini hio ni kitu kingine. Kuvaa cheni, vikuku, kacha kwanini ukataze? Labda ukataze wakiwa shuleni (kwa malengo ya kwamba wasiharibu uniform) lakini walikitoka nje ya shule mm naona wavae tu hata wasipotaka kuchomekea... na kuhusu mabegi unaona ni sahihi mwanafunzi kutembea njia nzima na mzigo wa madaftari? Madaftari waache shuleni watembee na homeworks tu... [emoji2377]Kwahiyo unashauri wavae hata bikini poa tu si ndiyo, watie na vikuku miguuni safi , wavae hadi shanga na cheni poa tu au siyo?
Hujanipata mkuu, ninamaanish kuwa kwa wanafunzi wa shule hakili zao bado hazijakomaa, akiona mwenzake anakuja na suti kila siku inamharibu kisaikolojia. Lakin kwa wewe mtaani ni mtu mzima unajari maisha yako tu.Basi na uraiani tuvae uniform ili kuondoa inferiority.
Yani hakuna uhusiano wowote kati ya usawa na mavazi.
Kitendo cha watoto wa masikini kusoma Kata na mfagio na wengine kusoma Feza kwenye school bus tayari kimevunja point yako ya usawa.
Sahih kbsa mm Nakereka na hz suruwali za njiwa mno ningekuwa head master ningezichana chanaMzazi hakikisha mwanao akitoka nyumbani mkague, sare za shule zisimamie na umpe onyo kwamba nikikuta suruali au shati limepunguzwa ole wako....
Tatizo ni kwamba unafkiri kwasababu huzipendi basi ndio na wengine wasipende... [emoji2365]Sahih kbsa mm Nakereka na hz suruwali za njiwa mno ningekuwa head master ningezichana chana