Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

Fact mkuu
 
Duh noma sana.
 
Mtoto anafanya anachojisikia yeye kiufupi anajiongoza haongozwi na mzazi
 
Kuna hii tabia yakusema watoto wasichapwe hii tabia ni mbaya mno ,ina matokeo mabaya mno apo baadae.
 
Kuna mwingine hapa mama yake ana duka la reja reja....ukifika tu kwake,mtoto ataanza kukuganda umnunulie soda Mara bigboo,Mara juice,Mara biskut Mara nini, yaani unavunga wapi. Huku mama yake akimkodolea macho. Mpaka unaona Ainu unamnunulia huku mama yake akinyenyuka kwenda kumhudumia utadhani ni mteja. Fakini!!!!
 
Malezi yote hutokana na mazingira kila mtu analea mtoto wake kutokana ma mazingira yanayomzunguka

Halafu tujifunze kitu jaman kila mtu analea vile anataka kulea Mwanaye, sasa mambo ya kuingilia malezi ya mtu mwingne kwa Mwanaye huo ni udikiteta

Malezi ya leo sio malezi tulokulia tulio weng
Unatembea barabaran unakutana na binti kaongozana na familia yake ila kavaa kimini kifupi au surual iliyobana sasa ww km mpita njia unataka ufanye nn wakat wazazi wake wamemruhusu
Jaman kla mtu atabeba mzgo wake
We ukilea mwanao kwa maadili unayoona ww ni sahihi bas usihoji wenzio kwa malezi yao ambayo wanaona wao ni sahihi

Kwa kifupi kla mtu ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…