StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Uko vizuri mkuu. Wakuweke kwenye lile likitabu la Ginizi[emoji1787]Asante kwa mapendekezo ila vigezo sina Mimi ni maskini kwahiyo natakiwa nishinde na jua shambani ili ipatikane ya kuwalipa hao maviongozi na ndugu zao mkuu
hiyo elimu nilihitimu nae huyu mpare mwenzanguππKama ametumia hiyo elimu sawa, ila kama anataka hawa watoto walipwe inabidi apewe BAN kabisa
jamaa anachezea hiyo timu tena yupo first eleven π π π πMkurupuko FC[emoji3]
Wapewe ndinga ambazo hapa Bongo hazijaingia bado.Ili tuwe tunaziona live kitaani. Subaru hata wauza magenge wanazo nyingi tu[emoji1787]ni muswada tu kaka bado hatujaupitisha,,,,kwahyo wapewe lc 300 ama?
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi
hili wazo zuri sana ,ikiwezekana watafutiwe na madereva wao maalumuWapewe ndinga ambazo hapa Bongo hazijaingia bado.Ili tuwe tunaziona live kitaani. Subaru hata wauza magenge wanazo nyingi tu[emoji1787]
Yaani amefeli vibaya sana. Mimi na shule zangu za matopeni nimeng'amua fasta tu. Anakwama wapi mtanzania mwenzetu huyu?. Mbona Watanzania tunasifika Sana Kwa akili kuchaji kama tumekula ubwabwa wa Hashimu Rungwe?[emoji1787]jamaa anachezea hiyo timu tena yupo first eleven π π π π
inachochea sana maana familia zao zitaishi maisha ya kifahari na ya kutokua na stress hivyo kupelekea utendaji wa wazazi wao uwe maradufu na wa kutukukaItachochea maendeleo kwa namna gani tajir na maendeleo hayo yata mgusa vip Mwanachi wa daraja la chini
hahahaha ndio wale ambao shuleni walikua hawasomi maelekezo..wanaanza tu kujibu maswaliYaani amefeli vibaya sana. Mimi na shule zangu za matopeni nimeng'amua fasta tu. Anakwama wapi mtanzania mwenzetu huyu?. Mbona Watanzania tunasifika Sana Kwa akili kuchaji kama tumekula ubwabwa wa Hashimu Rungwe?[emoji1787]
Kabisa na wakipewa wawe watubania sisi walugaluga hata kupiga nazo selfie tu.Marufuku![emoji1787]hili wazo zuri sana ,ikiwezekana watafutiwe na madereva wao maalumu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anaanza kutiririka tuhahahaha ndio wale ambao shuleni walikua hawasomi maelekezo..wanaanza tu kujibu maswali
daaah kubabeq huu unafiki ni mkubwa sana chief π π π πSasa milioni 3 inamtoshaje mtu jamani!!!
Labda kama watawapa 100k kila siku kwa ajiri ya mafuta na pombe.
Watoto wa viongozi sio watu wa kukaa hivi hivi,mtu kama abdul sio jambo la busara kumpigia simu mama yake anaomba ela ya kununua boxer.View attachment 2819698
Pamoja sana. Naona pesa imekuwa nyepesi kweli. Walipweeeeee[emoji1787]Tena walipwe kila tarehe 21 ya mwezi na malipo yasiwe na makato yoyote.Naunga mkono wazo.
Saaana. Watakuwa wanalala na mafaili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inachochea sana maana familia zao zitaishi maisha ya kifahari na ya kutokua na stress hivyo kupelekea utendaji wa wazazi wao uwe maradufu na wa kutukuka