Hizi dini shurutishi hapana.
 
yani afunge muhisilam mimi inanihusu mini? et mwezi mtukufu shenziiii
 
Wazanzibar hatuendani nao bora tupeane talaka tokomea....πŸ™‚
 
Mfahamu hapa inatumika hekima ya tamaduni sio dini.

Mfano kule ulaya kuna tamaduni matamasha ya LGBT jee hapa Tanzania wakisema waje wafanye mtakubali kwa tamaduni zenu?.
Wee jamaa ujue umejibu ki genius sana japo wewe mwenyewe unaona kawaida tu...πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Zanzibar ni upuuzi mwingi sana,kuna mtu wangu wa Karibu yupo kule, Jumapili iliyopita,walienda Kanisani kuwaambia wapunguze music wamefunga,wakati wao maspika Usiku tarawei,pia wengi wao wanashinda njaa tuu.Hawa jamaa bara wako huru ila kwao wanaroho mbaya sana, Jumapili pale michenzani waligoma kuniuzia maji,eti tumefunga,pumbavu kabisa
 
Umeanza vizuri tuu ila huku mwisho sasa umepuyanga puyanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapana bwana! Ni kwamba ule lakini kwa staha na siyo hadharani ovyo ovyo tu. Ujue watu wengi wanafanya sifa katika kula wewe mwenyewe shahidi watu kutafuna ovyo tu masokoni na na barabarani
 
Kujiona Dini yao muhimu kuliko imani za wengine ni ukosefu wa busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…