Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Zanzibar ni Nchi ambayo imeungana na Tanganyika!
Zanzibar ina Serikali yake ya mapinduzi na ina sheria zake na ina Katiba yake....
Kuna Sheria nyingine za States uwa zinafutwa na Supreme Court zinapokuwa zinakizana na Sheria Mama.
 
Zanzibar ina utaratibu wake iliyojiwekea kwakuwa asilimia kubwa ya wakazi wa kule waislamu,,,,haitakiwi kula hadharani period.

Je tunashindwa kuheshimu hilo kwa mwezi mmoja tu? Tatizo letu sisi tunaingiza udini hapa ukristo vs uislamu.

Lakini tukitoa hiyo kutu akilini kwetu tutaona kwamba hiyo sheria na lazima ifuatwe period.


Tuache kila siku kulialia Zanzibar zanzibar pumbavu!
 
Kwani ni mara ya kwanza huko kuwakamata watu wanaokula wakati wa ramadhani

Ova

mimi wanaonishangaza hao wanaokamatwa kwa kula, hizo sheria zipo toke kabla ya Uhuru huko zanzibar na zinafanya kazi, sasa mtu unatoka bila ya hata hofu unakwenda kujiachia hadharani unakula
 
Sheria Zipo Zanzibar wanalalamika wabara, Acheni kiherehere
 
Back
Top Bottom