FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ndio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seems tunaishi kiajabu sana kupitia huu MuunganoNimeiona kwenye habari leo UTV, je zanzibar inaendeshwa kwa sheria za kiislamu?
Lini ziliwahi Kujaaa?• Ivi kufunga ni lazima?,
• Yani nishindwe kula kisa jumuia fulani imefunga?
• Kweli Africa akili zimepungua!
Ila unafiki lazima uwe nao hata utumie akili vipi!Ukishakuwa mwislam usipotumia akili zako vizuri lazima uwe gaidi
Lakini kwanini ule hadharani mwezi wa ramadhsni? Kila nchi ina by-laws zake kama huwezi kuzitii ondoka hilo eneo neenda pale unapo ona kuna usalama kwako.Nimeiona kwenye habari leo UTV, je zanzibar inaendeshwa kwa sheria za kiislamu?
Maghayo tunaomba muongozoNimeiona kwenye habari leo UTV, je zanzibar inaendeshwa kwa sheria za kiislamu?
Kuna kukua kimwili, kiroho, kijamii nk nk.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili...
Sini unaota yule alikamatwa na tunguli Airport uarabuni anasema anaenda kuhiji amebeba daftari michoro ya ajabu eti yanahusu allah hadi yule askari muarabu akasema mimi pia najua. Quran lakini haifundishi hivi.. hata wenye dini yao wanashangaaKwenye uislamu hakuna.kitu kinachoitwa co-existence. Ile dini inapiganiwa na binadamu kuliko mwenye dini mwenyewe.
Dawa ni kugawana mbao,Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi ...
Bila shaka idadi kubwa ya hao kenge ni walimu wa primary na secondary.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu...