Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wanakubaliana katika nini ? Na hao 12 waliokamatwa ?Hapana mkuu kule raia wengi wanakubaliana na kinachoendelea tunaopiga kelele ni watu wachache wa huku bara, tukisema kule kuna taratibu zao mnapiga makelele acha dawa iingie tu