Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo
Excuses zipo kibao to store.
Ukiambiwa mgao umesababishwa na miundombinu kuharibiwa na mvua utakataa?.
[emoji2957][emoji2957]
 
Haya mafuliko ilaumiwe serikali sababu wanachimba barabala zisizo na misingi mvua zikinyesha maji yanakosa muelekeo yanaingia kwenye makazi ya watu
Kuna maeneo ya Mkundi Watu wamejenga kabisa kwenye Mkondo wa maji na wamejiami kwa kujenga kuta. Maji ata ikipita miaka 100 ipo siku lazima yapite Njia yake Original ndo kilichotokea Morogoro leo. Akuna cha serikali wala nini. Watanzania wengi awajiongezi kwenye mambo mengi. Aingii akilini na mapori yote yaliopo TZ mtu akajenge mabondeni au pale Jangwani
 
Nakumbuka TVA - Tennessee Valley Authority walianzisha hii project waka creates Dams purposely ilikuwa ku control Floods na pia kuzalisha Umeme.

Maji kama hayo ilipasa tuyavune na kuja kuyatumia in the future tusiache yapotee.

Poleni wakazi wa moro ,natumai ruvu itakuwa imeshashona.
 
Msiwe mnajenga mabondeni kwenye mikondo ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…