Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamlaka zilisema ni mvua ya muda mfupi tu,taarifa za juu juu ni kwamba barabara ya morogoro-dodoma haipitiki.Kwahiyo mwaka huu mvua ni ya kutosha
Excuses zipo kibao to store.Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo
Duuuuh hatareeeee, ningekua hapo ninge ogelea had bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvua imenyeesha ya kutosha na kuleta mafuriko Kihonda na hii inachangiwa na ujenzi holela wa reli ya mwendokasiView attachment 2479033View attachment 2479034
Tuwaungie hayo ya mvuaMvua zote hizi eti dawasa wana week hawajatupatia majii...nosense
Atamwagia wapi wakati nje nako kupo hivyo?.Hapo tafuta pampu ya Honda na petrol Lita tatu umwage hayo maji
Wakisha maliza vikao wataendaPoleni sana vitengo vya dharura na uokozi vikae tayari kwa lolote! Huu sio wakati wa kwenda kazini kwa mazoea
Kuna maeneo ya Mkundi Watu wamejenga kabisa kwenye Mkondo wa maji na wamejiami kwa kujenga kuta. Maji ata ikipita miaka 100 ipo siku lazima yapite Njia yake Original ndo kilichotokea Morogoro leo. Akuna cha serikali wala nini. Watanzania wengi awajiongezi kwenye mambo mengi. Aingii akilini na mapori yote yaliopo TZ mtu akajenge mabondeni au pale JangwaniHaya mafuliko ilaumiwe serikali sababu wanachimba barabala zisizo na misingi mvua zikinyesha maji yanakosa muelekeo yanaingia kwenye makazi ya watu
Likijaa watasema hawakujiandaa kwahiyo wanayafungulia yaende tu kwanza mpaka 2025.Poleni sana hayo maji yatajaza bwawa la umeme .
Ukiangalia hapo Kuna mteremko kuelekea mlangoni,so kwa nje yatakua yanatiririkia bondeniAtamwagia wapi wakati nje nako kupo hivyo?.
Dahh[emoji23]Likijaa watasema hawakujiandaa kwahiyo wanayafungulia yaende tu kwanza mpaka 2025.
Kwani huko kwenye dunia ya kwanza huwa waishinda Natural force?Miaka zaidi ya 50 ya Uhuru. Miundo mbinu bado hafifu
Msiwe mnajenga mabondeni kwenye mikondo ya majiAisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
PICHA/VIDEO
View attachment 2479141
View attachment 2479185
View attachment 2479186
View attachment 2479187
View attachment 2479190
View attachment 2479207
Subiri wajuzi waje wakupe muongozo mujarabHivi huyu m/mungu tena wa herufi ndogo na Mungu ndio huyu mmoja