Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #121
Na wao watakuja kukutembelea ukipatwa na hayo matatizo; je ndivyo maisha yanatakiwa kuwa?Mi binafsi nilishaachaga kutembelea watu unless kuna tukio.
1.Kuna mgonjwa
2.Msiba
3.Sherehe(hadi waniarike)
4Mtu kajifungua mtoto.
Otherwise Niko bize na maisha yangu vibaya sana.
Kuna mikoa inaongoza kuwa na mapori mengi kuliko idadi ya watu; huko ndiko kuzuri pakufugia na kilimo.🤣 Utafugia wapi sasa maana mshauza maeneo kwa ami zenu Dipii Weldi
hata me nashangaa mbona wanajifanya kusahau makubalianoRafiki Si Tumekubaliana Ni Pesa.
Siku hizi mbunye zinapatika 24hr ni ww na hela yako.Hawazalishi chochote, kwa hiyo ili apate hela ya kununua mihogo inabidi aangalie ni nini cha kuuza
Inasikitisha sanaUkikua ndo utajua kuwa kwanini kwenye familia yenu kuna yule ndugu ambae hana muda na wanafamilia mimi bhn kuna ndugu zangu wengi tuko mbali mbali ila kuna huyu mjomba mjomba huyu bora tungekuwa mikoa tofauti ila tuko wilaya moja but tangu 2021 kwenye msiba sijawah hata kukutana nae kwa bahat mbaya
Na wanaouza wanasema wako kazini, shamba lao ni miili yao 😂Siku hizi mbunye zinapatika 24hr ni ww na hela yako.
Kuna mwanangu mmoja dalali yeye time ya kutongoza hana kuna dada mmoja wa Arusha,tunakaa nae kitaa jamaa akiwa na elfu 10 anajipigia kwenye room ya demu.
Yaani yy kununua ni sehemu ya maisha yake.
Wanasema hela ndio kila kitu, na watu wameamua kuwa watumwa wa hela tu.Ubinadamu kwisha
Ni tatizo, kwa hiyo ndio tumeamua tuishi kwa mateso hayo, je mwisho wake ni lini?Maisha magumu....
Jumatatu mpaka Ijumaa, Unakaa Kibamba, ofisi Bandari. Unatoka home saa 11.30 alfajiri, unarudi nyumbani saa 3.30usiku;
Jumamosi ndio ufanye mambo yako kidogo, Jumapili upo kanisani mpaka saa 11 jioni. Huo muda wa kutembelea ndugu anakaa Chanika unatoa wapi?
Unadhani hata akisema nini kifanyike anaweza kubadili chochote kulingana na dunia ilipofikia? Cha muhimu tutafute helaNa hili ndilo tatizo kubwa; Unafikiri ni nini kifanyike ili ile hali ya watu kuishi kiutu na kutembeleana iweze kurudi?
kiongozi mbona ujiongezi? mbona iyo ishu ndogo tu apo.Mzee akanijibu, samahani sana mambo yameingiliana, ndio najiandaa hapa kuelekea kwenye biashara yangu, kukagua mapato.
Kuna kipindi nipo Karatu kikazi, hapo nimetoka zangu Mbulu nikafika kituoni dereva wa bodaboda akanichukua, nikamwambia anipeleke Lodge nzuri, so nikawa na mtumia kwenye mizunguko yangu.Na wanaouza wanasema wako kazini, shamba lao ni miili yao 😂
Hatujachagua sisi, mazingira ndio yametuchagulia.Ni tatizo, kwa hiyo ndio tumeamua tuishi kwa mateso hayo, je mwisho wake ni lini?
Yeye anakutafuta?Juzi nimetoka kugombana na auntie yangu kwenye simu kwann simtafuti? Maisha ya utafutaji pesa yamechangia kwa kiasi kikubwa
Hii si sawa na kuabudu hela kuliko utu?Tunawasiliana kwenye magrupu ya WhatsApp. Kama umetoka mvi unajiposti watu tunakuona tunakomenti umezeeka maisha yanasonga.
Ukiumwa tunaanzisha mkeka tunakuchangia hata ukitaka kwenda India unaenda.
Kutembeleana ilikuwa enzi za Mwalimu
Wazee wetu wa zamani, waliwezaje?Juzi nimetoka kugombana na auntie yangu kwenye simu kwann simtafuti? Maisha ya utafutaji pesa yamechangia kwa kiasi kikubwa