Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Bonde la Ihefu limeharibika kabla hata Magufuli hajawa RaisUtakuta Hawa Wanafamilia 12, wameanza hii shughuli baada ya JPM kufariki.
Tumtume nani Sasa?? Mipango?? Ataweza kweli ??
Jiwe alipokuwa Rais aliwafanya nini?Shithole country! Nchi hii ina mtu anayeitwa rais, lakini kuna watu wana nchi ndani ya nchi. Ni marais ndani ya nchi. Naye Rais wa nchi anaamini wanastahili kufanya hayo! Mbaya zaidi wana tabia ya urafiki ndani ya uongozi.
Mbona yalianza enzi zake,yeye alichoona cha maana ni kupambana na Chadema tuTukubali au tusikubali, JPM alikuwa CHUMA, ndo maana haya madudu hayakufanyika wakati wake.
Huko chadema hakuna watu wenye akili za kutafuta pesa maana kila uovu mnasingizia ccm.watu wao wapo ccm.
Aliwashindwaje hao 12? Maana hawajaanza mwaka janaHapo ndio tutamkumbuka JPM, hakukuwa na untouchable!
Ila hii sirikali ya kimama mmmh
Ukishavimbiwa mchemsho wa nguruuwe lazima uitaje Chadema bwege weweHuko chadema hakuna watu wenye akili za kutafuta pesa maana kila uovu mnasingizia ccm.
Hivi hiyo habari ya bonde la Ihefu unaijua au unajitamkia tu kama msukuleTukubali au tusikubali, JPM alikuwa CHUMA, ndo maana haya madudu hayakufanyika wakati wake.
Wataje mkuu, nasikia kuna hadi majajiHata Dr Mpango hatothubutu kuwagusa , ndio wafadhili wakubwa wa ccm , ninawajua wanne .
Hiyo kesi ya mchina ilikuwa mwaka 2019, kipindi cha MagufuliKwaiyo Rostam angelifungwa wewe ungenifaika nini? Sinibora alivyohongwa Chanel 10, Sasahivi inalingizia taifa mapato, juzi kuna Mchina amekamatwa ameua tembo zaidi ya 500 amehukumiwa kifungo cha miezi 6 au kulipa faini ya laki tano.
Sasa si ndio mnasema aliondoa uozo kwenye nchi? Au mnalamu serikali ya sasa kwani Samia ndio kuwaruhusu?JPM ndiye aliamua Nchambi alipe hiyo faini ndogo?!
Kikwete aliwafunga mawaziri wastaafu, vigogo wa polisi, Magufuli amemfunga nani kwa ufisadi? Sugu na madiwani wa Chadema?Uhuru wa maoni ulikuwa enzi za Kikwete ila Kikwete akaishia kuwa rais dhaifu, uhuru wa maoni umerudi tena sasa sijui Samia naye atakuwa rais dhaifu pia au atakuwa anachukua maamuzi magumu pale anapotakiwa kufanya hivyo ili asiwe dhaifu?
Muulize mama yako maana bado anapanua miguu kama chizi!Do punguza hasira ndugu ,unatariajia kujifungua lini
Hela ya kampeni inachotwa hazina kwani wana wasiwasi gani wakati Watanzania ni mazezeta yasiyoweza kuhoji fedha zao!Haiwezi? Hela za kampeni 2025 unadhani zinatoka wapi?
Hapo ndio tutamkumbuka JPM, hakukuwa na untouchable!
Ila hii sirikali ya kimama mmmh