BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Upuuzi mtupu. Yani mtu mmoja au wawili au watatu watikise nchi nzima! Hii Tanzania nchi ya kifala sana. Taifa la watu milioni 60+ lipelekeshwe na familia kadhaa, chinjia baharini hao watu maisha yaendelee, sijui wanakwama wapiJe hamkuwahi kuambiwa kuna watu wakiguswa nchi itatetemeka?
Na watanzania, ndio hata yeye alisema sasa nawaletea chuma(Magufuli).Alitambulika na watu gani?
Tatizo unafikiri huo ubongo utabeba mawazo ya wachache! Ulinzi na usalama ni wa raia wote lakini mipango na mbinu si kazi ya raia wote!
Uwajibikaji.Hayo Ni matokeo ya Sera Bora kabisa za Dk.Samia 👇View attachment 2452558
Nimefuatilia Kwa makini,Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
Watanzania hawa hawa wanaposema Magufuli alikuwa shetani tuchukulie kuwa ndio ukweli pia?Na watanzania, ndio hata yeye alisema sasa nawaletea chuma(Magufuli).
Kidogo na mm nimestuka hasa pale Balile aliposema kuna jambo roho mtakatifu kanituma niliseme "ng'ombe wanakamatwa naibu waziri anapiga simu waachiwe"". Alimaanisha naibu waziri ama waziri? Maana Mashimba ni waziri.Nimefuatilia Kwa makini,
Anayetafutwa hapo ni Mashimba Ndaki waziri.
CCM wakimnyooshea kidole mtu kumtuhumu ni MWIZI ,fikiria twice , yaezakuwa ni INNOCENT.
Aamen
Watanzani tuko wengi na watu huwa na mitazamo na hisia tofauti, hivyo wapo waliyomuona Magufuli ni shetani kwa mambo ambayo waliamini anayafanya na wapo ambao hawakumuona ni shetani. Na Kikwete naye watu walimuona ni dhaifu kutokana na hali ilivyokuwa.Watanzania hawa hawa wanaposema Magufuli alikuwa shetani tuchukulie kuwa ndio ukweli pia?
U are fixed na umejaa,Huyu mwandishi wa habari anatufaa
Na kuna wengi pia walimuona Kikwete alikuwa kiongozi mzuri, so ni suala la mtanzamo tuWatanzani tuko wengi na watu huwa na mitazamo na hisia tofauti, hivyo wapo waliyomuona Magufuli ni shetani kwa mambo ambayo waliamini anayafanya na wapo ambao hawakumuona ni shetani. Na Kikwete naye watu walimuona ni dhaifu kutokana na hali ilivyokuwa.
Tutajie,Max atakulinda,always anafanya hivyoHata Dr Mpango hatothubutu kuwagusa , ndio wafadhili wakubwa wa ccm , ninawajua wanne .
Ndo nyie mnotusumbua Kwa ukame, tokeni Ihefu, idadi yenu ni 12 tu halafu mnasababisha hasara Kwa watu mamiloni ya Wa tzNi mnafiki na mla rushwa haswa
HaaaaCode za siasa zizielewi
Kwahiyo unamtisha law kukukumbusha ya wenzie?Atakolimbwa😂😂😂.Amegusa asicho kijua.Tetea wanyonge ukigeuka hakuna mtu nyuma yako.Stan katabalo aliwatetea wakazi wa bonde la ngorongoro akaliwa kichwa.
Unataka kuona picha ya mume wako akiwa Ruaha?Lazima mataahira akitajwa jpm mata. Kle yaanze kupwita.
Hebu tuoneshe picha za mto ruaha ukiwa umekauka enzi za jpm?
Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
Acheni kumuogopa Makamba sababu ya bahasha, kipindi cha Kalemani hawa watu walikuwepo na umeme ulikuwepo full timeNdo nyie mnotusumbua Kwa ukame, tokeni Ihefu, idadi yenu ni 12 tu halafu mnasababisha hasara Kwa watu mamiloni ya Wa tz
Muulize mumeoWe ushawahi kumpa rushwa ya sh ngapi?
Muulize mumeoWe ushawahi kumpa rushwa ya sh ngapi?