Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mali za chama ziko ngapi...Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.
Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la Miti Bora, wilayani Mvomero, na kusababisha vifo vya watu wanne, na ajali ya pili imetokea eneo la Mkambalani baada ya magari mawili kugongana mojawapo likiwa basi la abiria lililoteketea kwa moto.
Ok.
Ukiwa nao wewe inatosha, na wewe ni Polisi eeeh? Mtakufa sana awamu hii.Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.
watu ni wajinga sanaNa Raia wengine zaidi ya 30 wamekufa ndani ya siku 1. Tusisahau kushukuru pia kwa kidogo hiki.
ππππUkiwa nao wewe inatosha, na wewe ni Polisi eeeh? Mtakufa sana awamu hii.
Na bado.