huko ndo kujichanganya, sijasema polisi anafanya hisani, kama kazi ambayo polisi wanatakiwa kuja kuifanya ili kuwaokoa wao mnaithamini, kwanini yeye avunje udungu kisa watoto/ndugu wamepata ajira huko polisi?Police hatoi msaada anafanya kazi yake ambayo analipwa mshaara na posho kwa ajili ya Usalama
Wa raia
polisi na walimu wakilipwa mishahara midogo watu hufurahia , hawaelewi kwamba huo ni mkakati maalumu wa kupata kundi litakalofanya kazi ya namna yeyote ile, ukishajiuliza kwanini uchaguzi wanapewa kwa kiwango kikubwa kusimamia ni watumishi wa umma ndo utaelewa muktadha.Police wanavuna walichopanda wameweka uweledi pembeni wao wamekua kama watumwa wa wanasiasa
sababu za mtoto kulia zikiwa zinabadilika kila siku humpoteza maboya muulizajiMimi nadhani ni kutafuta kwanza mzizi wa fitina badala ya kulaumu wanaoshangilia. Mtu mwenye akili timamu akikuta mtoto analia hawezi kuanza kwa kulaumu au kumkemea mtoto kwamba asilie bali atatafuta kwanza chanzo cha yule mtoto kulia na kutafuta ufumbuzi wake.
Uko sahihPolisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.
Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.Ukiwa nao wewe inatosha, na wewe ni Polisi eeeh? Mtakufa sana awamu hii.
Na bado.
Nani atafute huruma,nimegundua mitandao ya kijamii imechangia Kwa kiasi kikubwa kutengeneza kizazi kilichokata tamaa chenye roho mbaya sana😂😂😂😂
Anatafuta huruma.
Siyo Polisi tu, sipendi kuona mtu akishangilia kifo waziwazi.😂😂😂 huyu ikifika segment ya Polisi anakuwa mnyonge, sijui nini, yeye ajue watakwisha wote. Kila polisi atafikiwa.
Unajitetea hahah kijana ipende kazi ako wacha kujitetea lkn na nyie wengi hufanya vibaya kuliko wanaofanya mema so wote mnafia humo humoPolisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.
1.Mimi siyo kijana naweza kuwa Baba yako.Unajitetea hahah kijana ipende kazi ako wacha kujitetea lkn na nyie wengi hufanya vibaya kuliko wanaofanya mema so wote mnafia humo humo
Polisi wepi hao? Hawa ambao wao wenyewe ni wezi? Matapeli? Majambazi na wauaji??Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.
Subiri siku uende lodge na mafirauni wakuingilie mfululizo,uone kama mwenye lodge hatoita Polisi waje kukusitiri Kwa tukio la kinyama ulilofanyiwa
Mbona wao Polisi wanaua na kuteka Raia? Unadhani wahanga hawana ndugu? Wanajisikiaje hao wafiwa?Siyo Polisi tu, sipendi kuona mtu akishangilia kifo waziwazi.
Kifo kinatisha, kifo kinaumiza haswa ukifiwa na mtu wa karibu,hivyo utaratibu wetu tunapaswa kuwa na huruma hata kidogo
Uhasama ulianzia kwenye mauaji! Yapi? Oya askari hawapendwi tokea enzi za mitume kilichopo sasa hivi ni muendelezo tu wa kizazi na kizazi. Nani huku aseme kwamba kabla ya mauaji alikuwa anawapenda mapoti. HayupoMjinga utakuwa wewe unayejitoa ufahamu kwamba hujui uhasama wa policcm na raia ulianza kwenye mauaji.
Mwanaume habakwi mzee, tumia neno lingine shehe kwa huyo member😀Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.
Subiri siku uende lodge na mafirauni wakuingilie mfululizo,uone kama mwenye lodge hatoita Polisi waje kukusitiri Kwa tukio la kinyama ulilofanyiwa
Mimi huwa nafarijika sana hizi mali za CCM zikipukutika.Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.
Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la Miti Bora, wilayani Mvomero, na kusababisha vifo vya watu wanne, na ajali ya pili imetokea eneo la Mkambalani baada ya magari mawili kugongana mojawapo likiwa basi la abiria lililoteketea kwa moto.
Polisi tz sio binadamu labda kama wewe ni mmoja wao ila ki ukweli hawana ubinadamu wa utu!Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.