πππ lakini kwanini umseme mtoto wa watu na ushapata mwingineMimi huwa namsema Vibaya huyo ex hukonaliko atakoma kujingβataπ
Jamani sasa ningeenda kusoma na mtoto? Mbona nyie wabinafsi sana? Kwanini huwa mnajipa kauspecial sana? Wale wanangβangβaniaga watoto tu ilikuwa kasheshe ila ikabidi nimuachie!Singo father wako poa sana hadi kakuletea mtoto wake umlelee ujue mwenye shida ni mke wake wa kwanza la si hivyo huyo mtoto angekuwa kwa mama ake
Yeah including meπ€£Mkuda sana weee π
Ndiyo, sasa mtoto yeye atajuaje madhila ya singo maza mtoto hana ajualo yeye akula na kulala tu imeishaBabaangu wa kambo tenaπ
Kaniroga sijapata mpaka leo mbwa huyu! Anafikiri nitarudi kwake.. tena anikome!ππππ lakini kwanini umseme mtoto wa watu na ushapata mwingine
Mimi atakayenioa ananijua vzr nipo kama sinaga mtoto kwanzaπNdiyo, sasa mtoto yeye atajuaje madhila ya singo maza mtoto hana ajualo yeye akula na kulala tu imeisha
Baba wa kambo atakaemuoa singo maza ndio atakiona cha mtema kuni π
Na nyuzi zote unazogunguliwa humu hapana wewe utakuwa unatupangaπKaniroga sijapata mpaka leo mbwa huyu! Anafikiri nitarudi kwake.. tena anikome!π
Hahahaa ni stress tu saa ingine ni defence mechanismπLazima atakusimulia kuhusu mzazi mwenzake tu mara kadhaa ukiwa nae! Kuna mmoja alikua ananiboa kweli kweli.
Nawapangaje tena! Hao si wanafunzi wanafanya mazoezi ya kutongoza kabla likizo haijaisha!πNa nyuzi zote unazogunguliwa humu hapana wewe utakuwa unatupangaπ
Sio ubinafsi kama amekupokea kwa kigezo cha masomo iyo haina shida ila kama nakuona unavyosononeka kwa kummisi mtotoπJamani sasa ningeenda kusoma na mtoto? Mbona nyie wabinafsi sana? Kwanini huwa mnajipa kauspecial sana? Wale wanangβangβaniaga watoto tu ilikuwa kasheshe ila ikabidi nimuachie!
Ngoja namimi nijiunge na hiyo tusheni πππNawapangaje tena! Hao si wanafunzi wanafanya maziezi ya kutongoza kabla likizo haijaisha!π
Kavu sana ile sikuitegemea πYeah including meπ€£
Au we unaonaje mkuuπ
Mh, ngoja nijitose nije kutoa shuhuda hivi mlango wa pm upo wapiMimi atakayenioa ananijua vzr nipo kama sinaga mtoto kwanzaπ
Hivi uzi wa watu ndio tumeugeuza wa singo mazaπ
Nishakuwa sugu kuna muda nasahau kama ninaye mtoto! Zamani niliteseka hata kulala!Sio ubinafsi kama amekupokea kwa kigezo cha masomo iyo haina shida ila kama nakuona unavyosononeka kwa kummisi mtotoπ
Karibu sana ada ni buku bee tuπNgoja namimi nijiunge na hiyo tusheni πππ
hehehe kazi sana.. hata walio kazini wanaomba sana bia hadi keroUnakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Lakini watapataje ahueni vijana wa jfπKavu sana ile sikuitegemea π
Hahahh utalia mno na kujaza nyuzi jf, kaa kwa kutulia kabisa!Mh, ngoja nijitose nije kutoa shuhuda hivi mlango wa pm upo wapi
Hahah utakuwa mwalimu wewe! Sio bure!ππ hiyo imepigwa u-tern lengo la mleta mada lilikuwa ni kuleta taharuki kwa walimu innocent
SAsa assume hicho kipindi ulikuwa unashindwa kulala halafu upo na mwanaume mwenye wivu angehisi wamuwaza exπNishakuwa sugu kuna muda nasahau kama ninaye mtoto! Zamani niliteseka hata kulala!
Pm tu buku mbili!! Kweli singo maza ni jangaπππKaribu sana ada ni buku bee tuπ