Mimi nikiwa ninapitia kipindi kigumu huwa siingii kwenye mahusiano! Najijua ntakudisapoint ile mbaya! Mwisho wa siku ndio hizo nyuzi zenu sjui ana kisirani oh dem ana matusi kama nini aanh😅SAsa assume hicho kipindi ulikuwa unashindwa kulala halafu upo na mwanaume mwenye wivu angehisi wamuwaza ex😆
Pm tena au tution! Achana na singo maza favnya issue zingine! Unawawaza! Inaonekana una muda nao sana😂Pm tu buku mbili!! Kweli singo maza ni janga😄😄😄
Mbona mapema😀Hahahh utalia mno na kujaza nyuzi jf, kaa kwa kutulia kabisa!
Mimi ni mwalimu kwa watoto wanguHahah utakuwa mwalimu wewe! Sio bure
Hii ni kusema ni bora usiingie kwenye mahusiano kabisa maana kwenye maisha vipindi vigumu haviepukikiMimi nikiwa ninapotia kipindi kigumu huwa siingii kwenye mahusiano! Najijua ntakudisapoint ile mbaya! Mwisho wa siku ndio hizo nyuzi zenu sjui ana kisirani oh dem ana matusi kama nini aanh😅
Najaribu kuunganisha dot niyapime kabla halijanikuta jamboPm tena au tution! Achana na singo maza fanya ussue zingine! Unawazwaza! Inaonekana una muda nao sana😂
Ndivyo inavyokuwa!Mbona mapema😀
Mna hatari! Nani tena kala pesa za wagonjwa?Mimi ni mwalimu kwa watoto wangu
But, walimu tunasakamwa sana aiseeh kisa tu marupurupu ya uchaguzi lakini wanaokula hela za wagonjwa hata hawasemwi
Vinatofautiana, naongelea vya mahusiano! Unaingia kwneye mahusiano ili kumsimlia mpenzi mpya mambo ya ex lol😅Hii ni kusema ni bora usiingie kwenye mahusiano kabisa maana kwenye maisha vipindi vigumu haviepukiki
Sasa si usijiongize tu huko, mbona si simple mathematics tu! Tafuta binti ambaye hajazaa wako wengi mno huwezi kuwamaliza!Najaribu kuunganisha dot niyapime kabla halijanikuta jambo
Madoctor wanawakamua hadi wagonjwa ila hawasemwiMna hatari! Nani tena kala pesa za wagonjwa?
Hizi ni porojo tu serikali inalipa kwa madaraja ya elimu doctor mwenye degree hamzidi sana mwalimu mwenye degree haizid laki1. Sasa lak1 ndio tuseme doctor ana maisha mazuri kuliko mwalimuMfano hapa kwa waalimu ninasikiaga tu wana maisha magumu, wanaomba omba, sijui wako cheap na mambo kibao mabaya tu! Ila binafsi sijawahi kuyashuhudia nisikufiche! Au sifatilii mambo ya watu😅
Kukuta kibinti hakijatafunwa usawa huu labda uoe kibinti cha miaka 8 na wengi wasio na bikra wana watoto😀Sasa si usijiongize tu huko, mbona si simple mathematics tu! Tafuta binti ambaye hajazaa wako wengi mno huwezi kuwamaliza!
Kwakweli hao watakuwa na chuki zao binafsi! Labda kuna walimu wa eneo husika!Madoctor wanawakamua hadi wagonjwa ila hawasemwi
Hizi ni porojo tu serikali inalipa kwa madaraja ya elimu doctor mwenye degree hamzidi sana mwalimu mwenye degree haizid laki1. Sasa lak1 ndio tuseme doctor ana maisha mazuri kuliko mwalimu
Wapo sana tu hujatafuta vzr wewe! Nenda vijijini huko! Tatizo mnataka wanawake wazuri halafu mkute wanawasubiri nyie tu. kila mtu anawahi bahati yake, wakati wewe ukisubiri embe liive vizuri wenzio wanalitafuna kwa chumvi!Kukuta kibinti hakijatafunwa usawa huu labda uoe kibinti cha miaka 8 na wengi wasio na bikra wana watoto😀
Chuki za kisiasaKwakweli haoa watakuw ana chuki zao binafsi! Labda kuna walimu wa eneo husika!
Hamna banah sema kuna waharibifu yani mtu mmoja anaharibu mtaa mzima sisi introverts tunakuta makombo tu😄Wapo sana tu hujatafuta vzr wewe! Nenda vijijini huko! Tatizo mnataka wanawake wazuri halafu mkute wanawasubiri nyie tu. kila mtu anawahi bahati yake, wakati wewe ukisubiri embe liive vizuri wenzio wanalitafuna kwa chumvi!
Huu uzi nimecheka sana sikutegemea kukuta uzi kama huu humu.Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.