Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #161
Pole sana na hongera kwa kuwa mkweliHakuna biashara ngumu kama hiyo, kwanza unatakiwa kuwa muongo yaani kusema mafanikio makubwa uliyonayo au aliyonayo mwingine ili umvutie kujiunga. Marafiki zangu wote walinikwepa, kila nikikutana nao wanajua nawapa stori za forever. Nikaona huu upuuzi tu, nikaamua kuachana nayo na sitaki hata kuisikia.
Mwenzangu mnanifurahisha asubuhi kwa nini nisicheke? Afu nafurahi kuona watu wanaiona kweli. ... kifungo cha fikra ni kibaya sana. ..all in all forever living owners ni wamarekani. ..I guess umeipata point yangu 'fikra kufunguka' have a blessed Saturday. ..Sio kwa vicheko hivi, lazma unahusika na forever living
Wewe piga geuza.Hahaha haina ushemeji!Kuna mke wa mtu yupo forever kila week ananiambia tafuta mtaji najua u can make it we Ngoja tuu Soon Ntakula Hainaga Ushemejii
kwenye khagaHa ha ha ha ha pole sana
Yani huko nlikoenda nlikuta bidhaa zimefichwa chini ya meza, meza imefunikwa na khanga
Nilikua nimekasirika mwanzo mwisho
Khangakwenye khaga
Wanagaramia hadi misosi ili tu uone bidhaa jinga sana, mie nlipewa ka fanta na vibagia nlivokua na hasira nkakanywa fasta tu gudugudugudu nkaweka chupa pembeni nikaendelea kununaMimi walinifuata kibo complex hapa tegeta wakanunua machips na kuku, nikapiga na bia zao jamaa wana story kibao. Nilivyochoka kusikiliza nikaondoka zangu.
Kumlamba nini.?Hii mbinu ya kuwaita watu na kuwapa vinywaji na chakula watawapata wengi kumbe..
mimi siku zote nikiona kitu sikielewi elewi huweni kunishawishi
eti semina halafu hujui semina inahusu nini....na unaenda?
Hizi mbinu wanazopewa hizi kama mkeo yuko huko na akili za kushikiwa 'watamlamba hadi basi'
manake wauzaji wote wa bidhaa za mtandao wako so desperate kushindana kuleta member wapya
na kuuza bidhaa....
Halafu anayekuambia yote hayo hajawaki kuwa nayo au kuyafanyaWe acha tu, mtu unakuwa muongo mpaka kwa wazazi, Mara ukijiunga utapata gari, utajenga nyumba, utazawadiwa safari ya kwenda marekani kumuona Mkurugenzi wa kampuni, utapewa tiketi ya ndege kwenda south nk yaan uongo mtupu
Tumfanyeje[emoji17] [emoji34] [emoji34]Sio kwa vicheko hivi, lazma unahusika na forever living