Nusu nitafute hela, niende nikapate hiyo huduma, eti kumbe pombe.Akili yako ikawaza miuno na mibinjuko ya ufukweni. [emoji1787]
Blowjob's ni kinywaji mzee, na hapo viko vingiππUkienda na milioni hata saa 6 usiku hufiki inakuwa Salio limeisha
Kama blowjob's tu ni 84,000 kuikodi Papa Usiku mmoja si utaambiwa dollar 500 π
Chama Cha ma jobless pro max, kime sikitika maana sisi tuko chini ya dola 1 ππHizo ni sawa na kama $4,230
Kwa Kibongo Bongo wenye huo uwezo wa kutumia kiasi hicho cha fedha labda Viongozi wetu wa kiSiasa, hasa hawa Vijana jamii ya akina Bashe na Mwigulu
Ama wasanii wakubwa jamii ya akina Diamond Platinums
Ama watoto wa akina Barhessa, japo Kwa Ramadhani hii, sio rahisi wao kufanya anasa hizo
Ila Kwa mshangao ulipigwa na members wengi humu, inaonesha wengi tunaishi Chini ya dollar 4 Kwa Siku
Tuendelee kutafuta hela tu
Itakuwa nyama mbuziWacha wenye pesa watumie pesa zao..
Maji ya nusu lita, kilimanjaro ni sh 10000 mamaae π€£ π π€£
Hiyo sex on beach ni cocktail.
Ila hiyo kwa mromboo, sijui ndio cha arusha ama inafanana na kwa mpalange. π€£
Sex on the beach, hata pale kuku wanacho. Jongea uka onje Ina ladha nzuri.Nusu nitafute hela, niende nikapate hiyo huduma, eti kumbe pombe.
Aaaah navurugwa haswaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sex on the beach ni jina la juisi hilo boss..π€£π€£π€£π€£Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?
Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?
Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
View attachment 3274347
Kiufupi ndio mtaji wangu wa kwanza katika unga wa sembe ππHizo ni sawa na kama $4,230
Kwa Kibongo Bongo wenye huo uwezo wa kutumia kiasi hicho cha fedha labda Viongozi wetu wa kiSiasa, hasa hawa Vijana jamii ya akina Bashe na Mwigulu
Ama wasanii wakubwa jamii ya akina Diamond Platinums
Ama watoto wa akina Barhessa, japo Kwa Ramadhani hii, sio rahisi wao kufanya anasa hizo
Ila Kwa mshangao ulipigwa na members wengi humu, inaonesha wengi tunaishi Chini ya dollar 4 Kwa Siku
Tuendelee kutafuta hela tu
Dola 1 sawa na kama 2,500 hiviChama Cha ma jobless pro max, kime sikitika maana sisi tuko chini ya dola 1 ππ
Nili enda kitambaa cheupe, nika ishia kunywa Ceres na supu ππNi kweli wapo, ila ndiyo wachache
Dollar 4,230 sio hela ndogo
Labda umkute mchimbaji amefumania Dhahabu kwahiyo amekuja kula maisha na Watoto wazuri Mjini
Ama hawa Viongozi wetu wa kiSiasa, wao Wana hela nyingi zisizopita kwenye cashbook report zao
HongeraKiufupi ndio mtaji wangu wa kwanza katika unga wa sembe ππ
mzee usi tusingizie huu uwongo, elewa chini ya dolar 1 .Dola 1 sawa na kama 2,500 hivi
Mihogo ya shilingi 700 na chai asubuhi
Mchana unapiga pasi ndefu
Usiku unakula wali wa 1,500 akiwa amekujazia ukoko wa kutosha na maharage π€
Walau ungetumia 50,000Nili enda kitambaa cheupe, nika ishia kunywa Ceres na supu ππ
siwezi pambana ili nika spend milioni10 bar ππ, japo zimesha ji triple.Hongera
Kidogo kidogo utamfikia huyo jamaa
π π πmzee usi tusingizie huu uwongo, elewa chini ya dolar 1 .
Means yaweza kuwa 1500 au 1000ππ
still Kuna watu wana lala nje na njaa Ina wachapa ππAcheni ushamba na nyie, mambo ya kawaida sana hayo, mtoke huko Mbwinde mje Darisalama jiji la maraha ukilala na njaa umependa
Na maji nusu lita 10,000Aise waje haraka sana. Na mimi ninetoka kapa. Labda nineambulia kujuwa bei ya Redbull tu ni Tsh 9,000
Hao wanaolala na njaa ni aidha aibu yao au uoga wao unawaponza, lakini Dar sio jiji la kulala njaastill Kuna watu wana lala nje na njaa Ina wachapa ππ
Mambo ya kunung'unula, huku upepo wa bahari unakupiga na sauti ya mawimbi inapiga, kuna burudani yake.Nusu nitafute hela, niende nikapate hiyo huduma, eti kumbe pombe.
Aaaah navurugwa haswaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madam taratibu, kuongea ni rahisi kama ume pata.Hao wanaolala na njaa ni aidha aibu yao au uoga wao unawaponza, lakini Dar sio jiji la kulala njaa