Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Hiyo shule ya St.Anne Marie sitamani hata kuisikia,nachoshukuru tu watoto wangu wameshafika mbali,siwezi kuyaanika humu maovu yao...
 
Mtoto kashawishiwa kushiriki uovu, sio rahisi Hawa kujua adhari ya kilichofanyika. Serikali isiwaadhibu watoto Tena Hawa vichanga vilivyoingizwa kwenye makosa na tamaa za waovu wachache.

Wasakwe na kuadhibiwa hao waovu. Nani walifanikisha huo udanganyifu...? Hao washughulikiwe.
Naunga mkono hoja, watoto wapewe mtihani mwingine na hilo lishule lifungiwe duniani hadi mbinguni
 
Watu wengi humu wanajifanya wajuaji Sana wakati wanayoyaongea ni uongo.Siku hizi kuanzia shule ya msingi wako kwenye mfumo mmoja wa serikali.Kumhamisha mtoto shule ya private ni lazima kupita ngazi zote kwa mujibu wa serikali,unaanzia shuleni,unaenda kati hadi halimashauri.Nyie mdanganyeni wakati anaomba ushauri.Mifano mnayotoa ni ya Zamani.
Hata unaelewa kweli kinachojadiliwa? Nani anahamisha mtoto shule?
 
Mpeleke tu private hakuna shida, mbn Kuna watu watoto wamesoma mok la sita na wakaenda form 1 mok 4 na chuo wamesoma na degree wanazo.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Ilikuwa zamani mkuu, sisi familia yetu kati ya watoto saba ni wawili tu wamemaliza lasaba tuliishia lasita na kupelekwa sec, sasahivi hufanyi Pepa ya form two kama huna namba ya lasaba
 
Haina athari ndugu. Anakosa tu admission shule za serikali.
Anaendelea sekondari kama kawaida na haitadhuru kufanya mitihani ya taifa ya kidato cha 2 na kuendelea.
Kwa sasa ile number anayopewa kufanyia mtihani Darasa la saba ndiyo hiyo hiyo inatumika kwa mitihani yote ya NECTA atakayofanya,kutakuwa tu na badiliko la code number kulingana na anafanya mtihani wa ngazi ipi? Ndiyo maana kwa sasa mtoto akifanya mitihani ya Cambridge ni ngumu sana kuswitch kuja kwenye mfumo wa NECTA,hii nilijua baada ya kuhangaika kutaka tumrudishe Nephew wetu asome hapa Tanzania kwa kuhamia.Tulianzia TCU kule ndiyo tulipewa utaratibu wote,kurudi NECTA tukaambiwa kwa siku zijazo itakuwa ngumu sana japo tulifanikiwa lakini ilibidi arudi mwaka mmoja nyuma.Ni muhimu sana mtoto awe na record ya matokeo yake ya darasa la Saba
 
Naomba ushauri wako mkuu
Mimi ninachoona kwakuwa uko hapa Dar,fanya safari nenda NECTA uwaulize nini hatma ya mtoto.Hao watoto ni innocent Wana haki si tu ya kusoma sekondari lakini pia Wana haki ya kusoma shule za serikali.Kuna precedence huko nyuma Hali kama hii ilitokea waliamua vipi? Majibu ya NECTA ndiyo yatakupa uelekeo.
 
Cheti ya darasa la saba ni kama cheti ya kipaimara tu.. hakina maana yoyote... Peleka mtoto private... Au nenda wizaran wanaweza kukusaidia kumpeleka shule mtoto

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Si kweli kwa sasa,ulizia wenye watoto waliofanya mitihani ya kidato cha pili,zile number wanatumia ni zile za darasa la saba,badiriko linakuwa tu kuonyesha anafanya kwa level ipi.Cheti cha darasa la saba unaweza sema hakina umuhimu lakini kwa mfumo wa NECTA wa sasa ni muhimu sana sana kuwa nacho hasa ile number ya kufanyia mitihani
 
Si kweli kwa sasa,ulizia wenye watoto waliofanya mitihani ya kidato cha pili,zile number wanatumia ni zile za darasa la saba,badiriko linakuwa tu kuonyesha anafanya kwa level ipi.Cheti cha darasa la saba unaweza sema hakina umuhimu lakini kwa mfumo wa NECTA wa sasa ni muhimu sana sana kuwa nacho hasa ile number ya kufanyia mitihani
Asante kwa kunifungua.. nikajua mambo kama zamani

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi humu wanajifanya wajuaji Sana wakati wanayoyaongea ni uongo.Siku hizi kuanzia shule ya msingi wako kwenye mfumo mmoja wa serikali.Kumhamisha mtoto shule ya private ni lazima kupita ngazi zote kwa mujibu wa serikali,unaanzia shuleni,unaenda kati hadi halimashauri.Nyie mdanganyeni wakati anaomba ushauri.Mifano mnayotoa ni ya Zamani.
Hii nimeishuhudia mwenyewe,mambo si rahisi kama wanavyodhania
 
Kwanza kumpeleka Private sio tatizo ila lazima afanye mtihani wa STD 7. Huwezi kufanya mtihani wa Form 2 kama hukufanya mtihani wa STD 7, kwakuwa wamefutiwa matokeo maana yake ni kama hajafanya mtihani sasa.
Mfumo wa sasa hivi mtoto akimaliza STD 7 kuna namba anapewa na ili asajiliwe kufanya mtihani wa Form 2 lazima namba ile utumike, kinyume chake hawezi kamwe.
Wanaokuambia mpeleke tu, wakuambie mwakani wakat anaendelea na huko Secondary basi sharti arudie mtihani wa la Saba, hakuna kona hapo.
Namba gani ? au ni namba ya mtihani kama ni hiyo lazima anayo maana kafanya mtihani sema kafutiwa matokeo ...elezeni vizuri siyo mnatoa maelezo kama waganga wa kienyeji.
 
Ninachojua NECTA wamefungia kituo cha mitihani (sio shule) fatilia matokeo yake yapo na utayapata.

usipotoshwe humu kwa sasa sajili za wanafunzi zinafanyika kuanzia primary na inahama kila mwaka na hata unapomuhamisha shule ni mfumo sio enzi zetu.

narudia Matokeo ya mwanao yapo na ukifatilia unayapata ni kituo cha mitihani ndicho kimefungiwa (sio shule)
Mbona ukifungua matokeo ya hizo shule hayapo kabisa? Maana yake inabidi aende NECTA kuomba matokeo ya mtoto?
 
K
Kabxaa...kuna shule ilikuwa ya 9 kitaifa mwaka juzi...magari yote ya shule yaliweka mabango yaliyosomeka 9 kitaifa...mwaka uliofuata kaangukia pua....wizi ni mwingi.sanaa kweny hizi private..hasa za watu binafsi..atleast za kanisa kidogo kuna uhalisia
NECTA wafute ranking kabisa, maana Ranking ndo husababisha wizi wa mitihani.
 
Back
Top Bottom