Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Wamesema watafungua matokeo Kwa wataokutwa hawana hatia wakikutwa na hatia watarudia mtihani ndo Iko hivo
Hiyo ni kwa wanafunzi 500 ambao matokeo yao yalishikiliwa.

Hizo shule ni kwamba zimefutiwa matokeo kabisa
 
Si kweli kwa sasa,ulizia wenye watoto waliofanya mitihani ya kidato cha pili,zile number wanatumia ni zile za darasa la saba,badiriko linakuwa tu kuonyesha anafanya kwa level ipi.Cheti cha darasa la saba unaweza sema hakina umuhimu lakini kwa mfumo wa NECTA wa sasa ni muhimu sana sana kuwa nacho hasa ile number ya kufanyia mitihani
Namba mwanafunzi anapewa tokea akiwa La Kwanza ndo maana namba huanza na mwaka 2016( kwa hawa waliomaliza mwaka huu)
 
Duh!

Hadi std 7 watu wanaiba mitihani!!!
 
Mtoto hawezi fanya necta form two Kama hana matokeo ya la Saba ....mnaosema ampeleke private bila kujua Nini kitamkuta mnampotosha ....

Elimu ya Sasa Ni ngazi kwa ngazi ,hakuna shortcut ....
 
Nilishasema haya mashule ya mabus ya njano ni ya michongo tu ,wanawatafunia watoto mpaka mitihani ,harafu mnasema watoto wanaakili wakati Ni mambwambwa tu ....

Shule zetu za kata ndio zinatoa wasomi halisi wanaojitambua na wabunifu ...hizo shule za njano watoto wanafuliwa ,wanafanyiwa usafi ,hata kufagia hawajui ,wamekaa kimayai mayai ,wananunuliwa Hadi mitihani [emoji3][emoji3]bado mnasema wanapata elimu Bora
 
Jason Rweikiza ni mtu wa hovyo sana.
 
Umasikini si sifa
 
Waalimu wa sekondari waje watuambue nini umuhimu wa PREM NUMBER ambayo mtoto anatokanayo shule ya msingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimesoma comments nyingi sana, ila ww umeongea jambo kubwa sana. Mzazi fuatilia kwanza athari za PREM number kabla hujampeleka private. Zamani hakukuwa na prem number so hapakuwa na madhara ila saivi prem zinahama na mwanafunzi kutoka primary to sec

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
POLENI SANA PRIVATE MPELEKE

ATHARI HAMNA MFANO MIMI NILISOMA UGANDA NIKAISHIA LA NNE NA NIKARUDI HAPA TZ NIKASOMA HADI CHUO NA BAADHI YA KAZI ZA SERIKALI NIMEFANYA NA CHUO MKOPO NILIPEWA

NB make sure mwanao anapata cheti Cha lasaba
Anapata kwa matokeo yapi na wewe?
 
Naomba ushauri wako mkuu
Ushauri wangu! Nenda ofisi za halmashauri au mkoani, onana na DEO au REO akupe mwongozo kama kuna namna ya kuipata PREM number ya mwanafunzi na kujua kama itaathiri au kutoathiri kitu akienda sekondari. Mifumo ya elimu kwa sasa sio ya makaratasi ni online tu haina ujanja ujanja kama wa zamani ambao wengi wanausemea hapo juu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mwanafunzi akianza darasa la kwanza hupewa prem # ambayo inaonesha mwaka alioanza shule. Huyu mwanafunzi haruhusiwi rudia darasa bila sababu maalumu na bila idhini ya Halmashauri husika.
Ukifatilia matokeo ya hawa watoto utaona prem zao zinaonesha walianz shule 2016

Bila hiyo prem hutafika popote.

Na ndo maana necta wakaanzisha reseat kwa darasa la 7
 
Mtoto hawezi fanya necta form two Kama hana matokeo ya la Saba ....mnaosema ampeleke private bila kujua Nini kitamkuta mnampotosha ....

Elimu ya Sasa Ni ngazi kwa ngazi ,hakuna shortcut ....
Ni kweli....kabisa.usajili wa form 2 unategemea matokea ya la saba..
Yaani cheti ni muhimu cha la saba vinginevyo hufanyi mtihan wa form 2.
Siku hizi ndo utaratibu.ile namba ya la saba inahitajika
NIMESOMA KOMENT NYINGI SIJAONA HII.
nafikiri watu wnegi hawaelew mfumo wa sasa
 
Ile namba ni ya darasa la kwanza si la saba, mtoto akianza shule tu anapewa namba inayoanzia mwaka aloanza shule
 
Back
Top Bottom