Hiyo ni kwa wanafunzi 500 ambao matokeo yao yalishikiliwa.Wamesema watafungua matokeo Kwa wataokutwa hawana hatia wakikutwa na hatia watarudia mtihani ndo Iko hivo
Huo ni unafiki, kama wajua kitu kisemeHiyo shule ya St.Anne Marie sitamani hata kuisikia,nachoshukuru tu watoto wangu wameshafika mbali,siwezi kuyaanika humu maovu yao...
Ooh kumbeHiyo ni kwa wanafunzi 500 ambao matokeo yao yalishikiliwa.
Hizo shule ni kwamba zimefutiwa matokeo kabisa
Namba mwanafunzi anapewa tokea akiwa La Kwanza ndo maana namba huanza na mwaka 2016( kwa hawa waliomaliza mwaka huu)Si kweli kwa sasa,ulizia wenye watoto waliofanya mitihani ya kidato cha pili,zile number wanatumia ni zile za darasa la saba,badiriko linakuwa tu kuonyesha anafanya kwa level ipi.Cheti cha darasa la saba unaweza sema hakina umuhimu lakini kwa mfumo wa NECTA wa sasa ni muhimu sana sana kuwa nacho hasa ile number ya kufanyia mitihani
Kwani kikichofutwa ni namba au matokeo tuelewesheniAcha kumdanganya, atafanyaje mtihani wakati namba yake imefutwa?
Walisema kabisa kuwa kuna wanafunzi matokeo yao yameshikiliwa, mmoja wapo ni Olympio English Medium ya Upanga, upelelezi ukikamilika wataachia au watafutiwaOoh kumbe
Haijaanza jana na haitaisha maana kila mwalimu anataka aongeze wajinga mtaaniDuh!
Hadi std 7 watu wanaiba mitihani!!!
Sema kama ni kweli tutakuunga mkono.Kimsingi hiyo shule ina upumbavu mwingi na chanzo ni Jason Rweikiza mwenyewe.Huo ni unafiki, kama wajua kitu kiseme
Nakumbuka kuna wakati Uhamiaji walikuwa wakivamia walimu na wafanyakazi wanakimbia vibaya mnoSema kama ni kweli tutakuunga mkono.Kimsingi hiyo shule ina upumbavu mwingi na chanzo ni Jason Rweikiza mwenyewe.
Jason Rweikiza ni mtu wa hovyo sana.Nilishasema haya mashule ya mabus ya njano ni ya michongo tu ,wanawatafunia watoto mpaka mitihani ,harafu mnasema watoto wanaakili wakati Ni mambwambwa tu ....
Shule zetu za kata ndio zinatoa wasomi halisi wanaojitambua na wabunifu ...hizo shule za njano watoto wanafuliwa ,wanafanyiwa usafi ,hata kufagia hawajui ,wamekaa kimayai mayai ,wananunuliwa Hadi mitihani [emoji3][emoji3]bado mnasema wanapata elimu Bora
Umasikini si sifaNilishasema haya mashule ya mabus ya njano ni ya michongo tu ,wanawatafunia watoto mpaka mitihani ,harafu mnasema watoto wanaakili wakati Ni mambwambwa tu ....
Shule zetu za kata ndio zinatoa wasomi halisi wanaojitambua na wabunifu ...hizo shule za njano watoto wanafuliwa ,wanafanyiwa usafi ,hata kufagia hawajui ,wamekaa kimayai mayai ,wananunuliwa Hadi mitihani [emoji3][emoji3]bado mnasema wanapata elimu Bora
Nimesoma comments nyingi sana, ila ww umeongea jambo kubwa sana. Mzazi fuatilia kwanza athari za PREM number kabla hujampeleka private. Zamani hakukuwa na prem number so hapakuwa na madhara ila saivi prem zinahama na mwanafunzi kutoka primary to secWaalimu wa sekondari waje watuambue nini umuhimu wa PREM NUMBER ambayo mtoto anatokanayo shule ya msingi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Anapata kwa matokeo yapi na wewe?POLENI SANA PRIVATE MPELEKE
ATHARI HAMNA MFANO MIMI NILISOMA UGANDA NIKAISHIA LA NNE NA NIKARUDI HAPA TZ NIKASOMA HADI CHUO NA BAADHI YA KAZI ZA SERIKALI NIMEFANYA NA CHUO MKOPO NILIPEWA
NB make sure mwanao anapata cheti Cha lasaba
Ushauri wangu! Nenda ofisi za halmashauri au mkoani, onana na DEO au REO akupe mwongozo kama kuna namna ya kuipata PREM number ya mwanafunzi na kujua kama itaathiri au kutoathiri kitu akienda sekondari. Mifumo ya elimu kwa sasa sio ya makaratasi ni online tu haina ujanja ujanja kama wa zamani ambao wengi wanausemea hapo juuNaomba ushauri wako mkuu
Ni kweli....kabisa.usajili wa form 2 unategemea matokea ya la saba..Mtoto hawezi fanya necta form two Kama hana matokeo ya la Saba ....mnaosema ampeleke private bila kujua Nini kitamkuta mnampotosha ....
Elimu ya Sasa Ni ngazi kwa ngazi ,hakuna shortcut ....
Ile namba ni ya darasa la kwanza si la saba, mtoto akianza shule tu anapewa namba inayoanzia mwaka aloanza shuleNi kweli....kabisa.usajili wa form 2 unategemea matokea ya la saba..
Yaani cheti ni muhimu cha la saba vinginevyo hufanyi mtihan wa form 2.
Siku hizi ndo utaratibu.ile namba ya la saba inahitajika
NIMESOMA KOMENT NYINGI SIJAONA HII.
nafikiri watu wnegi hawaelew mfumo wa sasa