Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Tunatengeneza kizazi lege lege ,mtoto anatakiwa kugangamala na kujua kuchambua Mambo ,kujua kujitafutia maarifa .....Umasikini si sifa
Ndio kuna kautaratubu fulan kuna dogo hakufanya mtihan wa form 2 mwaka huu sababu ya situation kama hizoIle namba ni ya darasa la kwanza si la saba, mtoto akianza shule tu anapewa namba inayoanzia mwaka aloanza shule
Hizo shule zinazofanya udanganyifu zatakiwa ziwe zinafungiwa hata miaka 5Ndio kuna kautaratubu fulan kuna dogo hakufanya mtihan wa form 2 mwaka huu sababu ya situation kama hizo
Mi naona bora wawende tu hapo pben ya tbc wakapate ufafanuz
Shule zimefutiwa matokeo wewe endelea kusema kamishina nini nini sijui wakati wametaja sababu ikiwa ni udanganyifuMtoto wako hajafutiwa matokeo mkuu,shule ndiyo imefungiwa kuwa kituo cha mtihani,matokeo atapata tu mkuu kuwa na amani,baraza halina mamlaka ya kufutia usajili mwenye mamlaka ni kamishna wa elimu pekee tu.
Basi hujasoma zote mzee mbona yangu ipoNi kweli....kabisa.usajili wa form 2 unategemea matokea ya la saba..
Yaani cheti ni muhimu cha la saba vinginevyo hufanyi mtihan wa form 2.
Siku hizi ndo utaratibu.ile namba ya la saba inahitajika
NIMESOMA KOMENT NYINGI SIJAONA HII.
nafikiri watu wnegi hawaelew mfumo wa sasa
Mbona hii issue imefafanuliwa na comment nyingi tu tena kwa ufasaha kabisaNi kweli....kabisa.usajili wa form 2 unategemea matokea ya la saba..
Yaani cheti ni muhimu cha la saba vinginevyo hufanyi mtihan wa form 2.
Siku hizi ndo utaratibu.ile namba ya la saba inahitajika
NIMESOMA KOMENT NYINGI SIJAONA HII.
nafikiri watu wnegi hawaelew mfumo wa sasa
Atakuwa kasoma zile za mwanzoni huko kisha akakutana na hiyo ya kwanza ya PREM NUMBER,angeendelea kidogo angekuta ufafanuzi wa kutoshaBasi hujasoma zote mzee mbona yangu ipo
Hivi mkitafuta wanasheria hamuezi kuishitaki shule na ikawalipa mamilioni ya hela kwa kuzingatia mambo yafuatayo:-Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Mambo yamebadilika kidogo,ili kuanza kidato Cha kwanza hata kama ni private school ni lazima akachukue Prem number shule ya msingi alikomalizia,na hizo Prem number zinatolewa na Baraza la Mitihani (NECTA)Haina athari ndugu. Anakosa tu admission shule za serikali.
Anaendelea sekondari kama kawaida na haitadhuru kufanya mitihani ya taifa ya kidato cha 2 na kuendelea.
Waziri gani huyo?
Ajira kupitia digrii hutaipata bila kuonesha
Cheti Cha la Saba.
Form four.
Form six
Na mwisho cheti Cha digrii
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu wamesema wamefuta matokeo,wamesema wamefungia vituo vya mitihani mkuuShule zimefutiwa matokeo wewe endelea kusema kamishina nini nini sijui wakati wametaja sababu ikiwa ni udanganyifu
Je ni shule nzima wamefutiwa?Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Hapa boss Cha kwanza kutana kwanza na mwalimu mkuu wa sekondari umuulize usajiri unahitaji vitu Gani... Na umuulize je PREM number ya mtoto Ina athari Gani..?Naomba ushauri wako mkuu
Eh ehh.ebu jaribu kuvaa viatu vya hao wazazI ambao watt wao wamefutiwa matokeo kwa mara ya pil
Hilo litaanza miaka 10 baada ya prem no ya kwanza kumaliza chuoAlisema ummy mwalimu alipokua tamisemi. Na ndugu yangu kapata kazi TRA mwaka huu na hakuna mahali wamaitaji cheti cha darasa la saba.
Na ndugu yangu pia kapata kazi kampuni ya mawasiliano hakuna mahali aliombwa cheti cha darasa la saba.
YesJe ni shue nzima wamefutiwa?
Wamesema mkuu , vituo, na wanafunzi wamefutiwa matokeoHakuna sehemu wamesema wamefuta matokeo,wamesema wamefungia vituo vya mitihani mkuu
Je Prem number zina uhusiano na matokeo?Mambo yamebadilika kidogo,ili kuanza kidato Cha kwanza hata kama ni private school ni lazima akachukue Prem number shule ya msingi alikomalizia,na hizo Prem number zinatolewa na Baraza la Mitihani (NECTA)
Endelea kuwadanganya watuCheti ya darasa la saba ni kama cheti ya kipaimara tu.. hakina maana yoyote... Peleka mtoto private... Au nenda wizaran wanaweza kukusaidia kumpeleka shule mtoto
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Unaongelea miaka hiyo.Haya mabadiriko yameanza tangu 2019,au huyo ndugu yako kamaliza darasa la saba 2019? Ukitaka kujua mambo yamebadilika,mtoto wako afike darasa la sita kisha mrushe aende Form one kwakuwa tu ana uwezo uone kama utapata admission kama zamaniAlisema ummy mwalimu alipokua tamisemi. Na ndugu yangu kapata kazi TRA mwaka huu na hakuna mahali wamaitaji cheti cha darasa la saba.
Na ndugu yangu pia kapata kazi kampuni ya mawasiliano hakuna mahali aliombwa cheti cha darasa la saba.