Wazee wa Betting mmeona mwenzenu Hanscana ameliwa Milioni 7.5?

Hiyo laki ikiliwa unalipa?
 
Kampuni ya betting haipend haiwezi kusababisha hata mara moja wewe ulost kwasababu hata wenyewe hawajui matokeo yatatokaje. Lakini anajua hata iweje lazima faida iende upande wake . Leo ukipata milion moja kuna uwezekano ukaja kuirudisha yote au kurudisha hata mara 5 ya hiyo pesa. Mhindi anataka ushinde ili akupige vizuri , mtu aliyewahi kushinda pesa kubwa ni rahisi kuja kupigwa kuliko ambaye hajawahi kushinda. Na hata ukishinda wewe kuna maelfu watapoteza. Mimi nimewahi kushinda milion 4 ila nilikuja kupoteza over 15M + ile milion nne yao , imagine yeye kazi yake kununua platform na kuweka mtaji , wewe unaweka pesa na bado uchague timu ambazo zitashinda na tena ukikosea hata moja kwenye timu 20 bado anakugonga. Kwa ufupi betting ina faida kwa mmiliki sisi wengine tunajifurahisha huku tunaumia
 
Kuna umafia pia, Kuna tetesi za upangaji wa matokeo.
 
Kuna umafia pia, Kuna tetesi za upangaji wa matokeo.
Hao wanaonunua mechi hawahusiani na kampuni za kubeti wao ni wabetiji wananunua mechi wapige vibunda , tahadhari unaweza kununua mechi kwa mabilion ikavuja na usilipwe maana kwenye kampuni za bwtting kuna risk management wakiona viashiria vya upangaji wa matokeo mechi inaondolewa au inafungwa odds au wote waliobetia hawalipwi
 
Mkuu umeeleza vizuri sana, kiujumla kila jambo duniani lina addiction na ni kamari kwa namna moja ama nyingine...

Unakuta mtu anasomesha watoto anatumia pesa nyingi sana.. Mwisho wa siku litoto linakuja kuwa jobless/ shoga..

Mtu anatumia mamilioni ya pesa kuandaa mashamba, mbegu, mbolea, na mahitaji mengine mengi lakini mwisho wa siku mavuno anaambulia patupu... Yaani ameweka stake kubwa mkeka umechanika

Nimeipenda hiyo nyingine, umesema sadaka ya kanisani nayo ni stake, ni jina tu limebadilika... maana unaweza kuwa na matumaini ya kwenda mbinguni na sadaka ukatoa lakini mwisho wa siku mbinguni kwenyewe usiende.

Kiujumla kila kitu ni addiction... chagua addiction yako kijanja. Be addicted wisely.
 
Unatumia nguvu kubwa kuwaelimisha
 
Mkuu hawa jamaa taswira ya wacheza kamari walioiweka kichwani ni ile ya wacheza kamari wanaoshinda kwenye majumba ya kamari wamechoka hata kula ya shida... so wakisikia betting ndo taswira inayowajia kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…